ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,637
- 46,220
- Thread starter
- #101
Kwamba Mungu aliweka struggle naHayo mabaya na mema yote yanampa sifa Mungu, Yaani yote yapo ili kumtukuza yeye.
Fikilia unapopitia magumu na alafu unapata msaada katika mazingira usiyotarajia hapo ni lazima utamtukuza Mungu. Lakini je! Lisingekupata hilo gumu ungemtukuza Mungu?
mambo negative ili apewe sifa
Kwamba bila hayo yote kwenye maisha na mengineo mabaya Mungu asingepewa sifa hii ni maajabu aisee
Mungu aliufanya moyo wa farao kua mgumu kama jiwePia ukisoma biblia unaona jinsi Mungu alivyojitukuza katika kuwatoa wana wa Israel kutoka Misri. Hapo utaona jinsi Mungu alivyoufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili yeye aweze kujitukuza.
Then aka ahidi kumchoma moto siku ya mwisho
Kumbuka moyo wa farao ni Mungu mwenyewe aliufanya mgumu🙌🏼🙌🏼
Kwa sifa kuu anayopewa Mungu angeweza kumfanya Simba ale nyasi kama angetaka si ndio?Mkuu ukisema hivyo utataka kusema Simba ale nyasi ili asiwaumize swala😂.