ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,637
- 46,220
- Thread starter
- #281
Kwa kweli alinipiga T.K.O 🤣 Kiranga koma dadekiPole inapendeza, jinga hujafikia level hizo ulizidiwa maarifa tu.🤣😂
Kwa kweli alinipiga T.K.O 🤣 Kiranga koma dadekiPole inapendeza, jinga hujafikia level hizo ulizidiwa maarifa tu.🤣😂
Aisee kama sio mpenzi wa kusoma ni ngumuHii ndio ishanipa kuanza kufuatilia msg huwa siwezi sijui kwanini 🤣
Unaniongezea hamasa ya kutaka kujua kilichojiri.Kwa kweli alinipiga T.K.O 🤣 Kiranga koma dadeki
Nikiona mlolongo mrefu najisemeaga acha yanipite kwani mangapi yamenipita.Aisee kama sio mpenzi wa kusoma ni ngumu
Nita ku tagUnaniongezea hamasa ya kutaka kujua kilichojiri.
Yeah sometimes mengine yapite tuNikiona mlolongo mrefu najisemeaga acha yanipite kwani mangapi yamenipita.
Poa poa sisteri.Nita ku tag
Muhimu ni kumbuke bro worry less
Tatu kavu😂😂😂🙌Ningekua mwanamaombi tungeingia kwenye mfungo 3 kavu tuwaombee pamoja na wewe mtumishi😅
Ila sasa tuwaache tu
Sawa mtumishi wa bwanaTatu kavu😂😂😂🙌
Tuwaache hivyo hivyo mkuu
Duuh unaona nafaa kuwa mtumishi kweli???Sawa mtumishi wa bwana
but for sure I know myself. 📌Duuh unaona nafaa kuwa mtumishi kweli???
By the way mtu akiniona for the first time, he/she may say he/she meet an angel😂😂😂.
Am very saint and decent by face and looking.
I don't talk unnecessary but for sure I know myself.
Tafadhari usitafsiri unavyojua wewe🤣🤣🤣but for sure I know myself. 📌
Kwa hiyo sentence 👆
Hapo umemaliza
Haya sawa mkuuTafadhari usitafsiri unavyojua wewe🤣🤣🤣