Human Nature

Human Nature

Umenena vyema hapo kwenye human nature, unajua ipo wazi kila kitu lazima kiwe na positive na negative side, hapo kwenye human nature ni kweli Kuna ile asili ya binadamu kuwa na uwezo wa kupenda, kuona huruma, kuhisi maumivu nk hio ni positive halafu pia Kuna nature ya binadamu kuwa wabinafsi, wivu, hasira nk hiyo ni negative side, na Kila upande hapo unaweza kuwa na madhara tofauti katika maisha yetu kutokana na mazingira yaliyopo, mfano mtu huyohuyo anaweza kukuonea huruma kutokana na wewe kukosa hata pesa ya kula lakini mtu huyohuyo ikatokea kutokana na juhudi zako ikatokea mathalani umefanikiwa kumzidi mtu huyohuyo anaweza kukuonea wivu kwasababu umemzidi, dunia ilipo na vitu vinavyoendelea ni kutokana na hiyo unayoiita human nature na hapo umezungumzia issue ya ku control hapo sasa ndipo utofauti unapoanzia, mfano watu wawili wanaweza kwenda bar kunywa bia na wote wakanywa bia tano, lakini katika kuhimili madhara ya ulevi ukakuta mmoja ulevi haujamsumbua sana kama mwenzake ijapokuwa wote walikunywa bia tano na zote ni safari hapo sasa naifananisha na uwezo wa kucontrol human nature, uwezo wa mtu mmoja na mwingine katika ku control hasira, wivu, chuki pamoja na kupenda nk vinaweza kutofautiana na ndiyo maana tunaona matukio mengi mazito na yakutisha yanayoendelea duniani kote
 
Umenena haswa sijutii kabisa kusoma hili gazeti

Ni kweli kabisa tatizo sio hisia
Tatizo ni namna ya ku control hisia zako

Hapo ndio ukomavu wa mtu utaonekana
 
Kwamba kuiba kura ni asili ya mwanadamu?
Labda ni asili ya mboga mboga mkuu

Kwa upande wangu naweza nikasema ni human nature kwa sababu mpka mtu anaiba inakuwa ni nature ya kujipendelea na nahitaji apate hicho kitu kwa hali na mali yaan kiufup mtu anajifikiria yeye bila kuangalia hisia, mitazamo na mahitaji ya wenginee
Hvyo ndivyo navyowaza mm kwa upande wangu
 
Sijasoma mpaka mwisho sijui umemaliziaje, ila kiukweli woote tuna hisia na zote zina kinyume chake..
Tunatofautiana katika kuchukua hatua(akili zetu zinavyochanganua mambo)
Mfano naweza nikawa na hisia ama kumtamani demu fulani, zile za lutamani kuishi nae kabisa ila nikaja nikaambiwa no kicheche hatari tena kwa kuthibitisha kwa macho, hapo akili yangu inaniambia huyu sio mke, mwingine inamwambia atabadilika n.k..
 
makaveli10 upo jukwaani kweli?
Za masiku bro hawajambo K/koo

Nilijua mfano wako ungehusu demu 😅🙌🏼
 
Kwa upande wangu naweza nikasema ni human nature kwa sababu mpka mtu anaiba inakuwa ni nature ya kujipendelea na nahitaji apate hicho kitu kwa hali na mali yaan kiufup mtu anajifikiria yeye bila kuangalia hisia, mitazamo na mahitaji ya wenginee
Hvyo ndivyo navyowaza mm kwa upande wangu
Kujipendelea kwa maana ya kutaka kila kizuri kiwe chako huku ukiumiza wengine ?

Aisee hakuna nature ya hivyo hiyo ni roho mbaya

Nimesema kupata hisia ya kutaka kujipendelea sio kitu cha kupanga
Lakini choice yako baada ya hapo ndio utazaliwa ubaya

MF : kwa kutamani kuiba kura hilo sio tatizo
Tatizo ni kuchagua kufanya hivyo huku ukijua unaumiza wengine
 
Kwahiyo hakuna haja ya kumuwajisha mtu aliekosea ?
Kwa sababu kwa falsafa yenu mnachukulia kama mtoto mdogo?

Unajua kua baba yake Yesu alie Mbinguni kwa mjibu wa maandiko ni Mungu
Na huyo baba ake Yesu Mungu amesema kwenye bibilia kua
Hakuna msamaha kwa watenda maovu bali watochomwa milele?

Wewe ni nani usimuwajibishe mtu kwa kutenda mabaya ?
Eti mtu aue kisha asamehewe tu
Sasa watu si watachukulia ni jambo la kawaida kukatisha uhai wa mwanadamu
ipo asili itamuadhibu makosa magapi umefanya? Kama kila jambo tunalotendewa tukisema tulipe kisasi dunia itakuweje?
 
Hapo ndio umejibu hoja yangu?
najaribu kuwaza kwa mtazamo wako.
Sheria zipo za asili na nchi ndo maana kuna amri za M-ngu ukivunja lazima upate adhabu.
kwa mtu binafsi anachagua maisha ya amani. kufanya mambo yaliyo ndani ya uwezo wake ambayo yapo nje anaachana nayo. mtu ameua kwaakili zake sheria zipo mm jambo la kumuhukum lipo nje ya uwezo wang.
 
Sawa mkuu
 
Hapa kwa watu nisiowafahamu vizuri kimeshanilamba mara nyingi

Kuna akili za kijinga kudhani kila mtu yupo kama nilivyo mimi

Lakini sasa nimejifunza tayari
Hata mimi huu ujinga nilikua nao, ila Kuna dogo alinifundisha kwa njia ngumu sana.

Alipita na milioni28 alafu nilikua na mikopo juu, nilitamani kumuua.

Nikajifunza kitu, ili tufanye kazi na mtu ni lazima nikujue kwao au ndugu yake wa karibu pia hata status ya kwao kama hawana fedha simpi nafasi ya kushika hela yangu yoyote.

Kiufupi Imani yangu imepungua sana kwa watu nisiowafahamu.
 
Back
Top Bottom