ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,632
- 46,213
- Thread starter
- #141
Wewe ni ngosha😅Sukari hamna, afu kupika chai ya watu kumi ni hasara labda nifungue mgahawa.
Mwanaume wa kweli hanywi chai anakula ugali asubuhi😂😂😂
Wewe ni ngosha😅Sukari hamna, afu kupika chai ya watu kumi ni hasara labda nifungue mgahawa.
Mwanaume wa kweli hanywi chai anakula ugali asubuhi😂😂😂
Hapana Mimi sio Ngosha ila nafanya kazi nao.Wewe ni ngosha😅
Duh!! Pole na hongera sana.Zangu sio nzima mfano haunihusu😢😢
Dah inasikitisha sana😢Hapana Mimi sio Ngosha ila nafanya kazi nao.
Wamenifundisha kula maugali asubuhi😂😂😂
Shukran sana bro nimepoaDuh!! Pole na hongera sana.
Mtu wa maana kabisa, na mie nikifikisha miaka 60 niwe hivyo hivyo... ibaki kutolea taka mwili tuShukran sana bro nimepoa
Hapo kwenye hela mwenyewe nimepigwa japo nilitoa ki roho safiHata mimi huu ujinga nilikua nao, ila Kuna dogo alinifundisha kwa njia ngumu sana.
Alipita na milioni28 alafu nilikua na mikopo juu, nilitamani kumuua.
Nikajifunza kitu, ili tufanye kazi na mtu ni lazima nikujue kwao au ndugu yake wa karibu pia hata status ya kwao kama hawana fedha simpi nafasi ya kushika hela yangu yoyote.
Kiufupi Imani yangu imepungua sana kwa watu nisiowafahamu.
Mpka miaka 60 mbona mbali 😅Mtu wa maana kabisa, na mie nikifikisha miaka 60 niwe hivyo hivyo... ibaki kutolea taka mwili tu
Pole sana aisee!Hapo kwenye hela mwenyewe nimepigwa japo nilitoa ki roho safi
Then mtu kajikataa safiii😅😭💔
Alafu kawaida tuu ukishazoea, kukikucha tuu unawaza maugali😂😂Dah inasikitisha sana😢
Yamepita ya kale hua sio ya kuyaendekeza muhimu yanatuachia funzoPole sana aisee!
Binadamu huwa tunakua na mitazamo tofauti sana na mingine huacha maumivu kwa watu wengine yasiyoweza kupona kirahisi.
Wamekuharibu bro dah morning ugali aisee nasikia tena ugali kwa wingi unadumaza akiliAlafu kawaida tuu ukishazoea, kukikucha tuu unawaza maugali😂😂
Sahihi kabisa ugali unadumaza akili.Wamekuharibu bro dah morning ugali aisee nasikia tena ugali kwa wingi unadumaza akili
Sijawahi kukaa nao sana lakini kuna rafiki yangu huyo ni mbishi sana 😅😅🙌🏼Sahihi kabisa ugali unadumaza akili.
Ukila ugali usiku sana au asubuhi sana Yaani mwili unachoka ni balaa.
Kama ulishawahi kukaa na akina Ngosha utakubaliana na hilo. Akili zao ni ngumu sana kuelewa lakini kuhusu nguvu wako vizuri sana.
😂😂😂 Sio kwa ubaya ila jamaa wanafaa kukaa na ng'ombe tuu maana ni wabishi na wagumu kuelewa.Sijawahi kukaa nao sana lakini kuna rafiki yangu huyo ni mbishi sana 😅😅🙌🏼
Sema sionani nae mara kwa mara ila siku tukionana hua nina kazi sana
Mkuu nilishagundua hilo, kiukweli Mimi ikishazidi saa 2:30 usiku siwezi kula chakula pia asubuhi nakula chakula kuanzia saa5.Sasa mkuu wewe unakula ugali kila siku hapo porini vipi huoni unaweka rehani uwezo wako wa akili
Usiseme hivyo nina rafiki yangu msukuma nampenda mnoo😍😂😂😂 Sio kwa ubaya ila jamaa wanafaa kukaa na ng'ombe tuu maana ni wabishi na wagumu kuelewa.
Safiii nzuri hiiMkuu nilishagundua hilo, kiukweli Mimi ikishazidi saa 2:30 usiku siwezi kula chakula pia asubuhi nakula chakula kuanzia saa5.
Usiseme hivyo nina rafiki yangu msukuma nampenda mnoo😍
Hawana baya usinigombanishe 😅Sio kwa ubaya mkuu, najua nawewe unaelewa walivyo🤣🤣🤣🧑🦯🧑🦯🧑🦯🧑🦯
Hawana baya kabisa, walinipokea mara ya kwanza naingia mgodini.Hawana baya usinigombanishe 😅