How I met (and lost) Nyani Ngabu

Status
Not open for further replies.
wee, NN ni kaka yangu.

Nikimtazama kwa jicho la ajabu tu, naleta laana ya ukoo.

Mwanangu Kongosho sikuamini utaua. Jinsi ulivyonipa kuwa wewe unafanya ufuska kwa fani sitaki nikuone karibu na Nyani Ngabu. Maana jinsi Mwali alivyomsifia na viwalo vyake unaweza kupindua ligovernment lake. So keep off my dear this is not your time. Nisamehe kama nimekuudhi au kukurushia dege.
 
Aisee, I need somebody like you to protect my interests.
Sio kwa Konnie lakini, kati yake na mimi hakuna microbes
na tena amenambia ni dada yake NN (sijui nani mkubwa?)
Ila kuna manungayembe mengine humu, nayaskia yanakuja
 
Competition kubwa mno.

Na huwa sitaki kumwingilia na mambo yake.

Si unajua when a guy is hot and loaded? Anasumbuliwaje?

I didn't know my dear! kumbe NN ni kaka yako?
Sasa toka lini mimi na wewe tukafichana vitu vizuri?
 
Kama ni hivyo basi tawile na endelea kuwa mshereheshaji. Again kama ni wale akina huyu ni Uncle wakati wakijipinda sehemu wananyonyana damu mtajijua wenyewe mie simo. Kama mdingi nimenasihi. Basi awe dada wa kweli mamaangu asiwe kama wale kaka wa akina Rua! Naomba nisimalizie hii sentensi watu wasijenitoa manundu bure.
 
ha ha ha, manungayembe?

Ukipigwa mie nakimbia, sitaki shida.

Aisee, I need somebody like you to protect my interests.
Sio kwa Konnie lakini, kati yake na mimi hakuna microbes
na tena amenambia ni dada yake NN (sijui nani mkubwa?)
Ila kuna manungayembe mengine humu, nayaskia yanakuja
 
Hahahahaaa! You got me and you got me good.

Uliipenda ile juisi lakini?
Niliipenda sana. The juice itself was nice, but i liked something else about it.
Si unakumbuka ile round ya pili na wewe ulichukua kama yangu (Mix ya passion and pinaple)?
nilivokua naskilizia ladha yake I was happy that our tongues were feeling the same taste...
 
Mwanangu Mwali kuambiwa ni kaka yake si big deal. Kuna jamaa siwataji utakuta anakwambia huyu ni kaka au uncle. Wakipata fursa wanamegua na kuhomola. Angalau siku hizi tunawajua. Kabla walikuwa wakituingiza mjini. Unaoa kabila lile unakuta mitoto yako inafanana na kaka mtu anasema ni ukoo kumbe jamaa alipandikiza shambani mwako. Nashauri uwe makini mwanangu dunia siku hizi gunia. Wa kuamini hasa katika mchezo huo ni wachache. Tumeyaona mengi wazazi wako.
 
he he he, usiwe na wasiwasi.

Pamoja na uchakaramu wangu, siwezi mtizama kaka.
Tutaleta laana, kumbuka yeye ndio mkubwa home.

Kama ni hivyo basi tawile na endelea kuwa mshereheshaji. Again kama ni wale akina huyu ni Uncle wakati wakijipinda sehemu wananyonyana damu mtajijua wenyewe mie simo. Kama mdingi nimenasihi. Basi awe dada wa kweli mamaangu asiwe kama wale kaka wa akina Rua! Naomba nisimalizie hii sentensi watu wasijenitoa manundu bure.
 
Niliipenda sana. The juice itself was nice, but i liked something else about it.
Si unakumbuka ile round ya pili na wewe ulichukua kama yangu (Mix ya passion and pinaple)?
nilivokua naskilizia ladha yake I was happy that our tongues were feeling the same taste...

Ahahahahaahaaa Mwali bana! Mtundu sana wewe!

Kitabu umekisoma lakini?
 
kama unaweza ku-quote unayemjibu inanoga zaidi, kama unatumia simu click 'reply' kama komputa click 'repy with quote'

halafu unaandika chini ya hayo maandishi lol

najichanganya bila quote.

Mwanangu Mwali kuambiwa ni kaka yake si big deal. Kuna jamaa siwataji utakuta anakwambia huyu ni kaka au uncle. Wakipata fursa wanamegua na kuhomola. Angalau siku hizi tunawajua. Kabla walikuwa wakituingiza mjini. Unaoa kabila lile unakuta mitoto yako inafanana na kaka mtu anasema ni ukoo kumbe jamaa alipandikiza shambani mwako. Nashauri uwe makini mwanangu dunia siku hizi gunia. Wa kuamini hasa katika mchezo huo ni wachache. Tumeyaona mengi wazazi wako.
 
I will trust your votive words for the sake of argument. Ila usiwe unatokea karibu na mlima ule mrefu. Kama unatokea kule huwezi kunipata. Nadhani umenielewa bi mkubwa.
 
kama unaweza ku-quote unayemjibu inanoga zaidi, kama unatumia simu click 'reply' kama komputa click 'repy with quote'

halafu unaandika chini ya hayo maandishi lol

najichanganya bila quote.
Kudos binti yangu nimekuelewa. Si unajua tena utamu wa kujibu hoja hapo hapo kabla bongo halijachachawa na mengine. Samehe basi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom