Hospitali ya Amana: Daktari abainika kutumia Vifaa Tiba vya Serikali kutibu Wagonjwa na kujilipa binafsi

Acha porojo nyingi waziri hana mamlaka ya kuajiri au kufukuza watumishi wa umma.Ni kwamba utakuwa hujui mfumo wa utumishi wa umma unavyofanya kazi Tanzania au ni mpiga zumari tu.
 
Huyu Gwajima waziri hana tofauti na Gwajima mchungaji
Hapana asee huyu mama yupo vizuri sana. Tuendelee kumpa muda haya mambo ya kuteuliwa na kutengeliwa bin vuu yanahitaji akili nyingi sana kujua boss wako anatakaje.

Lakini naimani sana na huyu mama,naamini ataindea haki hiyo wizara.
 

Huyo mgonjwa anapaswa amshukuru Mungu kwa kupatiwa matibabu, hilo la kulazwa gesti na kutokuambiwa ugonjwa si la muhimu sana kwa uhai wake.
 
Mtu atoke hospitali akalazwe Guest!!
Huku hajui ugonjwaa wake!
Ajabu sana.Hiyo chai aiache 2020,asivuke nayo. 2021
 
Acha porojo nyingi waziri hana mamlaka ya kuajiri au kufukuza watumishi wa umma.Ni kwamba utakuwa hujui mfumo wa utumishi wa umma unavyofanya kazi Tanzania au ni mpiga zumari tu.
Ndugu mtu anaeidhinisha ajira za serikali ni waziri na mtu mwenye kuamua kupunguza ajira serikalini ni waziri kama hujui.

Ndio maana taasisi zote ambazo mshahara wao unalipwa na serikali wakitaka kuajiri wanaomba kwa Dr Mpango yeye ndio anaamua serikali ina hela za kuongeza wafanyakazi. Akiamua pia anaweza trim size ya wafanyakazi na idara za serikali.

Hao makatibu wakuu na sehemu nyingine wanachofanya ni shughuli za administration usimamizi wa kila siku, kama discipline procudures, interviewing candidates, supervision etc with running of their departments.

I have always said there are only a handful of people who actual understand politics in this forums, kuna watu Tanzania wanafikia mpaka level za kuwa mawaziri ilihali abc of their roles zinawapiga chenga ukiwasikiliza.
 
Kama mnafanya siri ya jina basi mngefanya siri ya tukio pia. Yaani km vile vichwa vya Treni kuokotwa bandarini.
 
Yes, you are right
 
Hii habari ya "jina kapuni" chanzo chake ni wapi?

Mtu mzima na akili timamu unakubali kulazwa guest ukiwa mgonjwa?!

Give me a break.
Mzee hueleweki mara useme mzima mara mgonjwa
 
...Hakika Maswali Muhimu Mengi Yanayokosa Majibu! Miaka Mitano Mingine
 
Cinema zimeanza mkuu, wakiona hakuna kinachotrend wanabuni kitu😂😂
 
Hivi kweli kuna really qualified doctors wako mtaani? Hii si kweli. Labda vyuo private. Maana ile ripoti ya TAKUKURU ilizua maswali mengi sana.
 
You seem to be a very good crammer!
 
You seem to be a very good crammer!
Mwacheni Dr awanyoshee system za afya ambazo zilikuwa tia maji tia maji for a long time, walau kaingia mtu mwenye matching skills za kuisimamia hiyo wizara.

Mungu awabariki waliomuona na kutuletea, this hidden gem huko wizarani. Haya maamuzi ni kwa manufaa ya sisi watumiaji wa huduma za afya ata kama leo tunajiona wazima.

Uhalisia ni kwamba ipo siku tutafika kutumia hizo huduma tu, tupende tusipende na bila ya efforts za kuweka standardisation kwenye processes. Basi uhai wetu wa watumiaji unabaki bahati nasibu kutokana na siku yetu inapofika tunaangukia mikononi mwa nani. Depending on the skills of the professional and how they value life hizo ndio luxuries za madokta wetu leo. Badala ya kuelewa it’s their duty to do everything possible to save a life a first.

Management ya hiyo wizara ni very complicated kukuelezea mtu kama wewe ambae sidhani ata kama unajua simple meanings za applications of medical ethics concepts such as; autonomy, justice, beneficence and non-malefence. Jinsi gani zina demand responsibilities kwenye interaction ili uone makosa yaliyotendeka.

Leave alone vast WHO guidelines which have been breached in the process; to explain its pages of JF posts.

Ni hivi kwa nyie vichwa maji wa maswala ya health management; Dr Gwajima sio size yenu kumuelewa, busara ni kumuacha tu afanye kazi yake as a technocrat; utendaji kwenye hiyo wizara ulikuwa ovyo mno for a long time we have come to accepts ill practices as the norm.

Huyo mama anaelewa changes anazotaka ku achieve at so many levels usidhani anaenda tu kama gari bovu.

The woman is a genius; ngoja amalize huko kwenye afya anako kuelewa zaidi, baadae ndio tumpe challenges za social services aspects ambapo anaonekana ni weak. Nonetheless she is the best we have ever had.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…