Hospitali ya Amana: Daktari abainika kutumia Vifaa Tiba vya Serikali kutibu Wagonjwa na kujilipa binafsi


Sasa walishindwana vipi mpaka mgonjwanameamua kumreport kwa Wizara?

Ngoja tuangalie kwenye otherside
Wafanyakazi wengi wa sector ya afya hawana morali ya kazi kwa sababu hawalipwi stahiki zao,Yaani wengi wameikopesha serikali ,wanadai nauli za likizo wengine toka waanze kazi hawajawahi kulipwa ,wengine hawajapandishwa vyeo,wengine hawajawahi kulipwa nauli zao za likizo,uniform wanajishonea.wako overloaded(Idadi ya watumishi ni chache) upungufu ulitokea wakalipotumbuliwa wale wa vyeti feki,nafasi zao hazijajazwa.

Sasa wahanga wakubwa ni waauguzi.maana madaktari wana options nyingi za upigaji pamoja na parttime,wauguzi hawewezi kwa sababu wanafanya manual work hivyo wanachoka sana na wanatoka kwa kuchelewa sababu wana double shift.

Mambo mengi ya sekta ya afya yanafanywa kwa kukurupuka sana.tena huyu Gwajima ndiyo amekwenda kuharibu kabisa Wizara. maana naona watendaji wake watakuwa hawana cha kufanya.Mtu anayependa sana media huwa siyo mstrategia.

Namuonea Huruma naibu wake pamoja na katibu mkuu na wakurugenzi wake,maana nadhani watakuwa idle sana,mama anasinda anafanya kazi zao na zile za uwaziri hazina mtendaji
 
Sasa kama mgonjwa na dr walikubaliana kutibiana gest,serikali inahusikaje. Mbona wagonjwa wengi tu wanatibiwa popote pale alimradi tabibu na mteja wakubaliane.
He Dr alikuwa anatibu kama Dr au ndugu,rafiki etc.
Usijekuta walikuwa wanavunja amri fulani hivi huko gest wakashindwa kukubaliana.
 
Technocrat ni mtu wa aina gani?
 
Katika wizara nafasi ipi ni managerial au nani unaweza kumfananisha na manager?
The mere fact waziri anaitwa overseer unatakiwa uelewa that is a synonym for manager.

Nani ni nani hapo wizarani ni jukumu lako kujua roles za senior managers, middle managers and lower managers in line with government administration roles.

Mfano katibu mkuu ni chief operation manager and what senior manager do you think a minister is?

Vinginevyo tunataka kupeana kazi ya kutoa somo la management and honestly I don’t believe it’s my duty.
 
Namshauri waziri afike Tumbi awatume tena watu wake huko wajifanye wagonjwa, hosptali unaambiwa gloves kuanzia atakazotumia Dr utakayemwona, umnunulie Gloves nesi atayekuja kukuchukuwa sampli. Yaaani shida tupu.
Badala ya kumshauri kuja hospitali moja kwa moja, mshaur kupitia MSD apeleke dawa na vifaa tiba hospitalini hapo.
 
Ingetokea wizara kuwa na waziri "overseer/manager" ambaye siye "technocrat" huyo daktari angewajibishwa na nani?
 
Siiamini habari hii.Mgonjwa alipe laki 7,si bora angeenda private kama ana uwezo huo???
 
Kwa hiyo wewe katika kusoma kwako mpaka leo hujui makatibu wakuu wa wizara ndio wenye mamlaka rasmi ya kuwawajibisha watumishi katika wizara zao?
 
Kwa hiyo wewe katika kusoma kwako mpaka leo hujui makatibu wakuu wa wizara ndio wenye mamlaka rasmi ya kuwawajibisha watumishi katika wizara zao?
Usikariri maswala ya uongozi katibu mkuu ndio mtu anaesimamia maswala ya uendeshwaji wa wizara kila siku obvious moja ya majukumu yake ni kuchukua hatua so is the hospital manager at execution level (depending on decentralised decisions).

Hayo ni matokeo ya ku speed up maamuzi ya kazi sio kila kitu mpaka ajuzwe waziri (ndio maana kuna decentralised decision making all the way mpaka kwa wakurugenzi na katika taasisi za serikali) lakini waziri ndio mwenye mamlaka ya mwisho kwenye wizara. Ata execution strategy inayoandaliwa na wataalamu anaweza ikataa akaamuru wabadili mbinu (ni vitu vya kawaida kwenye nchi za siasa za ushindani ambapo support inatokana na ideology) mtu pekee anaeweza muamuru waziri ni raisi.

In otherwords waziri ni General Manager kwenye wizara, whereas Permanent Secretary or chief strategist (acts as the operation manager). Walau kulingana na everyday duties.

Given their powers waziri has powers to intervene at any level anaweza ata mrudisha kazini mtu aliesimamishwa na katibu mkuu, wakati katibu mkuu awezi mrudisha kazini mtu aliesimamishwa na waziri (provided those decision don’t clash with the employment rights of the individual by law).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…