Mmh, yaani wivubwa Paw ndo unanizuia kuweka avatar. Nitaambiwa nijipige ban bure!
Mke mwee, plz niombee basi ruhusa, natamani kuuza sura hadi naskia koo linanikereketa

unanchekesha,hasbend gani macho mia mia hata kwa wazazi hajaonekana.
yaani bishanga ndo kakushauti uvae hicho kinguo? dah!
nimefichwa Sinza kwa wajanja.
Sasa mke mwenza macho yangu yalivyo mazuri, na hata wanja sipaki, si yataonekana kwenye screen ya hijab? Bora niwaudhi wanajamvi nisimuudhi l'aziz wangu kipenzi, mweh. Lile gari la besdei asije akanipokonya buree. Kuliko nijifunikize kama wifi AshaDii, bora nikae hivi hivi. Ila muambie curiosity ndo inaongezeka, pm box naomba niongezewe capacity.:israel:
Hahahaha sasa hapo mke mwenza utafanya badala ya kuongezwa capacity ikaondolewa kabisa lol.
Afu ujue nna mpango wa kuji-RIP kama Husninyo. Kama una mpango wa kuninunulia tenge la wax ama kitambaa cha kushona dera uwakilishe nivitoe upya nikifa wale wake wenzie wifi wasije wakaviwahi.