sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Aug 29, 2012 #141 Mr Rocky said: Ndo hapo sasa Ukweli mpaka The secretary anausema aise Asprin sijui yuko wapi Click to expand... Asprin yuko kaunta sahizi.....anajenga nchi kwa kunywa biya! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: Ndo hapo sasa Ukweli mpaka The secretary anausema aise Asprin sijui yuko wapi Click to expand... Asprin yuko kaunta sahizi.....anajenga nchi kwa kunywa biya!
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Aug 29, 2012 #142 sweetlady said: Asprin yuko kaunta sahizi.....anajenga nchi kwa kunywa biya! Click to expand... Ewaaa! Umejuaje? Afu nipe japo kimoja bana. Naniliyu ishapata nafuu. Nataka tena kama jana. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sweetlady said: Asprin yuko kaunta sahizi.....anajenga nchi kwa kunywa biya! Click to expand... Ewaaa! Umejuaje? Afu nipe japo kimoja bana. Naniliyu ishapata nafuu. Nataka tena kama jana.
sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Aug 29, 2012 #143 Asprin said: Ewaaa! Umejuaje? Afu nipe japo kimoja bana. Naniliyu ishapata nafuu. Nataka tena kama jana. Click to expand... Hahahaha haya subiri sasa hivi unapata cha jioni.....si umesema kamoja tu eeh?
Asprin said: Ewaaa! Umejuaje? Afu nipe japo kimoja bana. Naniliyu ishapata nafuu. Nataka tena kama jana. Click to expand... Hahahaha haya subiri sasa hivi unapata cha jioni.....si umesema kamoja tu eeh?