Hongera sweetlady kwa kuweka avatar!

Mmh, yaani wivubwa Paw ndo unanizuia kuweka avatar. Nitaambiwa nijipige ban bure!
Mke mwee, plz niombee basi ruhusa, natamani kuuza sura hadi naskia koo linanikereketa

Si vibaya kuwa na wivu lakini asikuzuie kuvaa ile gwanda aisee!
Nimuombe Mr Rocky na Preta waunde tume ya kumbeleza Paw alegeze hayo maasharti Mamndenyi akiwa M/kiti wa tume maalum.
 
Last edited by a moderator:
Mmh, yaani wivubwa Paw ndo unanizuia kuweka avatar. Nitaambiwa nijipige ban bure!
Mke mwee, plz niombee basi ruhusa, natamani kuuza sura hadi naskia koo linanikereketa

Nimeongea na shemeji Paw kanambia anakufikiria bado......mke mwenza nawe ulizidi kukodolea watu macho ndio mana shem akachukia.......afu anasema sahivi anataka uweke ya kujifunika kama wifi AshaDii tena ufunike mpaka majicho!
 
Last edited by a moderator:
Nimeongea na shemeji Paw kanambia anakufikiria bado......mke mwenza nawe ulizidi kukodolea watu macho ndio mana shem akachukia.......afu anasema sahivi anataka uweke ya kujifunika kama wifi AshaDii tena ufunike mpaka majicho!

Sasa mke mwenza macho yangu yalivyo mazuri, na hata wanja sipaki, si yataonekana kwenye screen ya hijab? Bora niwaudhi wanajamvi nisimuudhi l'aziz wangu kipenzi, mweh. Lile gari la besdei asije akanipokonya buree. Kuliko nijifunikize kama wifi AshaDii, bora nikae hivi hivi. Ila muambie curiosity ndo inaongezeka, pm box naomba niongezewe capacity.:israel:
 
Hahahaha sasa hapo mke mwenza utafanya badala ya kuongezwa capacity ikaondolewa kabisa lol.
 
Avatar ni nzuri na wala haimaanishi kuwa avatar hiyo ina mahusiano yeyote ki-ngono. ni nzuri na inaleta hamasa kwa wachangiaji kuhamasika katika kujibu hoja mbalimbali toka kwako sweetlady.
 
Hahahaha sasa hapo mke mwenza utafanya badala ya kuongezwa capacity ikaondolewa kabisa lol.

Afu ujue nna mpango wa kuji-RIP kama Husninyo. Kama una mpango wa kuninunulia tenge la wax ama kitambaa cha kushona dera uwakilishe nivitoe upya nikifa wale wake wenzie wifi wasije wakaviwahi.
 
Khaaaa!.....hizi habari sio njema sana kwangu ......kwanini ujiRIP?......Husninyo yeye alikutana na vibabu , alirushwa, nk wewe nini kimekusibu mke mwenza?
 
Nimeongea na shemeji Paw kanambia anakufikiria bado......mke mwenza nawe ulizidi kukodolea watu macho ndio mana shem akachukia.......afu anasema sahivi anataka uweke ya kujifunika kama wifi AshaDii tena ufunike mpaka majicho!

Sasa mke mwenza macho yangu yalivyo mazuri, na hata wanja sipaki, si yataonekana kwenye screen ya hijab? Bora niwaudhi wanajamvi nisimuudhi l'aziz wangu kipenzi, mweh. Lile gari la besdei asije akanipokonya buree. Kuliko nijifunikize kama wifi AshaDii, bora nikae hivi hivi. Ila muambie curiosity ndo inaongezeka, pm box naomba niongezewe capacity.:israel:

Wifi zangu nawasalimu with love... mkimuona Dena Amsi mwambieni nimemiss!

On a serious note, ajabu na kweli my sweet wifi kuweka avatar, sijawahi kukuona kabisaa.... naona umeamua kuweka ile picha ulipigwa ulipokuwa Miss University lol

Wifi King rusidha AK4 yetu bana!
 
Last edited by a moderator:
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom