cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,706
- 189,023
Kwa kweli my muzee, ππππWashamfikia we tuliza kipapa tusubiri mrejesho le mbebez
ππππ
Kwa kweli my muzee, ππππWashamfikia we tuliza kipapa tusubiri mrejesho le mbebez
ππππ
Jamani M si nilisahau? Afu kwani wee una gari? Maana hujawahi niambia. LolMkubwa hata kunitag, uzi hadi unafika comments 100?
Haswaaa!! Kila mbinu siku hizi inatumika, ni utashi wa wafanya biashara husika. LolMzigo umeuzwa kitaalamu sana hapa ππππΎ
ππππUzi ufungwe, chiembe kishaenda kumpokea. Ndiyo hao hapo...View attachment 3370479
Huyo ni bro tupo nae kwenye manunuzi ya wahaya kila weekendwew Mpaji ni Mungu umeshindwa kuielewa hi code ya mdada hapa.
Unatuangusha wanaume hudhuria vikao kaka
ππππZa ndaaaani kabisa.
Pm ya mgeni: 873 messages
Kumekuchaaaaaa!!! πππππTupunguze matarajio wakuu,nilifika stendi lakini nilichokutana nacho very sadπ€¦πΏββοΈ
Kumbe ni kidume bintiπ
Yaan JF siku ina heka heka, km wamama wa uswahilini na shughuri zao. Lol.ππππJani Jf usipo login siku Moja tu ukija lazima Kuna mambo mapyaππ
ππππNdio tumeamka sasa hivi, mgeni yupo anapambana kufua majinsi, nami ndio najiandaa niende gengeni nikamchukulie mihogo.
Kama hajatokea check na Ziro IQNategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious
Asanteni
KudadekiiHuyo ni bro tupo nae kwenye manunuzi ya wahaya kila weekend
Siyo powa!Kudadekii
Nasikia ume pata baba mkwe muhayaSiyo powa!
Kwani jana si ilikua zamu ya Mad MaxNasikia ume pata baba mkwe muhaya
Bro Kuna dingi muhaya ali kuwa ana nipa pasi kwa wanae wa kike, alooh yule Jamaa ni zaidi ya marketing officer π€£ππ€£.Kwani jana si ilikua zamu ya Mad Max
Alikua anakuona nyuki wa mashineni ilitakiwa akulalamikie unawasumbua binti zakeBro Kuna dingi muhaya ali kuwa ana nipa pasi kwa wanae wa kike, alooh yule Jamaa ni zaidi ya marketing officer π€£ππ€£.
Dah si ana niambia nioe kwake, hajui mi kataa ndoa π€£πAlikua anakuona nyuki wa mashineni ilitakiwa akulalamikie unawasumbua binti zake