Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Nategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious
Asanteni
mtafute Tindo akusaidie ulale kwenye ofisi za chama kwa usiku wa leo
 
Uzi ufungwe, chiembe kishaenda kumpokea. Ndiyo hao hapo...
Screenshot_20250615_220710_Pinterest.jpg
 
Nategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious
Asanteni
Aisee lakini kwann uombe uje uchukuliwe na Gari? Kama hauna pakufikia usiku huu weka namba yako ya Simu watu wakusaidie.

Huwa tunasema Ficha Upumbavu na onyesha hekima yako.
 
Back
Top Bottom