Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,547
- 97,098
Sibebi vimburu kaka 🤣😂
Sibebi vimburu kaka 🤣😂
Binti Sayunii come on!Ndio
Naam naona 007, ame track location yake 😂🤣.Yupo sinza huyo, hamna cha magufuli wala samia hapo
Kama kawaida na anatumia Samsung A03,Naam naona 007, ame track location yake 😂🤣.
Huyu kawaida yake. Alishawahi kusafiri kutoka Bukoba huko njemba ikampokea Dar ikaichapa kwa siku tatu na ikamwachia Tsh. 8,700 halafu ikasepa. Hata sikumbuki stori vizuri na sijui alirudije Bukoba. Kumbe bado anatumia the same M.O.....Wakongwe tunakujua.
Vipi lile sweta lako lenye rangi za bendera ya taifa bado unalo? Karibu tutamtag mwamba akuachie 8700/= tena mkuu.
🤣🤣🤣 Vitu vizuri siovijana msituangushe aise 🥵View attachment 3370365
Wanaume tunaweza kuingizwa mkenge kisenge sana sababu ya nyapu...🚮🚮Nakuja PM
Ofcoz mtoto kashapokelewa kafika stendi saa 4:10 ndio maana mnaona kimya kwenye huu uzi wake..🤣🤣🤣 Vitu vizuri sio
KWANINI humu Kuna wagonjwa wengi wa akili?Huyu kawaida yake. Alishawahi kusafiri kutoka Bukoba huko njemba ikampokea ikachapa na ikamwachia Tsh. 8,700 halafu ikasepa. Hata sikumbuki stori vizuri na sijui alirudije Bukoba. Kumbe bado anatumia the same M.O.....
TANESCO calling ✔
High Voltage ✔
Dishi limeyumba ✔
Mkubwa hata kunitag, uzi hadi unafika comments 100?Mabazazi ya JF mnaitwaa hukuu, kuna mteja wenu ana jambo na nyie. Lol
Wee huogopiiii? 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂🍺Wakongwe tunakujua.
Vipi lile sweta lako lenye rangi za bendera ya taifa bado unalo? Karibu tutamtag mwamba akuachie 8700/= tena mkuu.
Washamfikia we tuliza kipapa tusubiri mrejesho le mbebezMabazazi ya JF mnaitwaa hukuu, kuna mteja wenu ana jambo na nyie. Lol
Wee huogopiiii? 😂😂😂😂😂
Watu wanawaza kula jicho la Samaki tu, shenzi taipuMkuu ilinde sana donati
Chica GeeMdada wa watu katoka njombe huko kapanda Upendo, na gunia moja ya maharage nyingine ya mahindi wewe unaenda na n Paso yako.
Si unajua kipindi cha mavuno hiki😂😂
😂😂😂😂😂 daaah
Manka una akili sana!Watu wa hivi kuna kimoja labda walishakanyaga magonjwa hawana cha kupoteza, au ni janaume au ni binti lakini ana agenda na ana jopo la watu lipo nyuma yake kwa utapeli
Mtu mwenye shida aanze kusema
mwanaume mwenye gari! kweli? Aah
Mgeni kishalala? MsalimieNakuja PM
Gunia mbili za viazi😂😂😂😂😂 daaah