Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,694
- 3,857
hahahahaha unatufanya tucheke kwa sauti tulio lala singleLeo ni mwendo wa foko foko foko hadi nati zilegee.
hahahahaha unatufanya tucheke kwa sauti tulio lala singleLeo ni mwendo wa foko foko foko hadi nati zilegee.
Hahaha 😂, hapo na imagine nitakavyomla huyu mfungua uzi unayetaka kufanywa.hahahahaha unatufanya tucheke kwa sauti tulio lala single
Ngoja niskilizie na mm akitokea mwingine nitag mapema sitakuangusha muda huu nanii yake itakua inavuja waajemiTafuta tu mwingine nawe ukampokee, huyo kishapewa funguo za gero kuwa kesho afanye usafi afue na ma jeans
😆😆😆😆Tafuta tu mwingine nawe ukampokee, huyo kishapewa funguo za gero kuwa kesho afanye usafi afue na ma jeans
Usihofu, utakutana na vijana wangu wanakusubiri kukubariki.Nategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious
Asanteni
Sawa ngoja nione itakuwaje nitakapo rudi, nitakupanga.Hahaha 😂, ukirudi utamkuta na utamkula mkuu.
😂😂😂 natumai alipokea simu.Mwambie apokee simu me namalizia mbege hapa nipate hata swagger za kuongea naye halafu naenda kumchukua 😎
secretarybird
Nimeikosa nafasi mrembo keshawahiwa.Mabazazi ya JF mnaitwaa hukuu, kuna mteja wenu ana jambo na nyie. Lol
Wee huogopiiii? 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Mimi nna bajaji za mizigo Tajiri kama yupo tayari nimpokee kwa bajaji ya mizigo sawa 😁😁
Safiiiii..tumia uanamke wako babesNategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious
Asanteni
👍Sawa ngoja nione itakuwaje nitakapo rudi, nitakupanga.
Hii code hawawez kuielewa, labda wachache sana7800
Haina makomboWahuni wamekubinua weee unaleta makombo dar
😁
hahahaa umemkamia maana yake au unaukame naeHahaha, hapo na imagine nitakavyomla huyu mfungua uzi unayetaka kufanywa.
Kwani siku hizi wanawake ndio laundry machine?Tafuta tu mwingine nawe ukampokee, huyo kishapewa funguo za gero kuwa kesho afanye usafi afue na ma jeans
Yeah baadhi.....Kwani siku hizi wanawake ndio laundry machine?
Utatolewa figo wewe maisha yashakua magumu mnachujia mikojo million mia mbili 😂😂Nategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious
Asanteni
Dar kila kona wamejaa mademu, sasa kwa nini mje kutoleana macho hapa?Watu mnaushirikiano humu, yan mmeamua kumwachia nyapi ale Mad Max
Yan mashemej had mawifi wanasubiri mrejesho hapa