Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Huyu kawaida yake. Alishawahi kusafiri kutoka Bukoba huko njemba ikampokea Dar ikaichapa kwa siku tatu na ikamwachia Tsh. 8,700 halafu ikasepa. Hata sikumbuki stori vizuri na sijui alirudije Bukoba. Kumbe bado anatumia the same M.O.....TANESCO national grid. High Voltage wires + likely kuna channels hazikamati frequency.
Ni sahihi. Ana shida ya akili huyo.
 
Back
Top Bottom