Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Amazon 😹😹😹
Ila JF siku hizi imepoa tumekua uduguu 🤣

Nimekumbuka enzi za watu kugombaniana mabwana nacheeka sana!! 🤣
Na sie tuna viranga kushadadia ugomvi hautuhusu khaaaa!!

Extrovert cazee mbaya sana wewe, ulikua unanipangia mpango wa kunila mwenyewe sijui 😹😹🤣🤣
😂😂😂😂😂
Uduguu tumekua kwa kweliii, yaan ilikua full mtifuanoo, ila JF imepitia mengii.

Namic zile heka heka haswaaa. 😂😂😂😂😂
 
Amazon 😹😹😹
Ila JF siku hizi imepoa tumekua uduguu 🤣

Nimekumbuka enzi za watu kugombaniana mabwana nacheeka sana!! 🤣
Na sie tuna viranga kushadadia ugomvi hautuhusu khaaaa!!

Extrovert cazee mbaya sana wewe, ulikua unanipangia mpango wa kunila mwenyewe sijui 😹😹🤣🤣
Utaliwa tu jiandae
 
Back
Top Bottom