Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,678
- 97,461
Mbaga Jr nilimkuta apo stend na bango lake..lete, nasikia 007 Vishu Mtata nusura amtoe pua Mbaga Jr
Mbaga Jr nilimkuta apo stend na bango lake..lete, nasikia 007 Vishu Mtata nusura amtoe pua Mbaga Jr
Tender kama hizi ilitakiwa mwali aweke tu number pale jukwaani kwenye thread yake watu waingie kazini bila kujulikana IDUmetokea ugomvi sana pale Magufuli jana
PM ilikua kiurahisi inatoka.Tender kama hizi ilitakiwa mwali aweke tu number pale jukwaani kwenye thread yake watu waingie kazini bila kujulikana ID
Ndugu nilikutag sehemu jana hujatokea eti. ☹Wewe si ndie yule Dada wa Sweta la Tanzania ?
Sasa ile ya PM anakua anakujua we nani hapa deal ilikua atoe number pale pale jukwaan ili pawe na collision nzuriPM ilikua kiurahisi inatoka.
Washakupokea au bado upo maguful terminal,sijui nimechelewa wapi!!yani hapa nipo kwenye hii gari yangu ya million 250 na scroll kwa simu yangu hii ya million 5 ndo naona uzi wako daahNategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious
Asanteni
😂Chuma ya kuazima isingekosekana. Si unajua watoto bila kufake life hupati.Jamani M si nilisahau? Afu kwani wee una gari? Maana hujawahi niambia. Lol
😂😂😂😂
Hiyo kama sio mtu wa maana kabisa uwezi elewaHii code hawawez kuielewa, labda wachache sana
Niliona notification ndugu yangu ila kutokana na umuhimu wa ule uzi mtu akinitag najua Kuna jambo jipya hivyo ikanibidi nisiuendee nikiwa na pilikapilika nyingi nikawa nauvutia usiku nikacheki nishushe nondoz.Ndugu nilikutag sehemu jana hujatokea eti. ☹
Kumbuka Mimi ni mtunza rsiti wa Jf nina Folder zenye link na Screenshots hata matukio ya zamani naweza kuleta ushahidi , naomba usalimu amri haraka kabla sijamtuma Secretary wangu secretarybird aniletee file lako .Siye,kuna nin
Ooh! Sawa ndugu yangu. 🤝Niliona notification ndugu yangu ila kutokana na umuhimu wa ule uzi mtu akinitag najua Kuna jambo jipya hivyo ikanibidi nisiuendee nikiwa na pilikapilika nyingi nikawa nauvutia usiku nikacheki nishushe nondoz.
Hatimae umetokea bro, pole na kazi mgeni hajambo.....Niwape feedback au?
Nitaleta kweli fileKumbuka Mimi ni mtunza rsiti wa Jf nina Folder zenye link na Screenshots hata matukio ya zamani naweza kuleta ushahidi , naomba usalimu amri haraka kabla sijamtuma Secretary wangu secretarybird aniletee file lako .
Walikupokea tayari?Usiwaze mambo mabaya
Nakufata chino wangu usijali 😍🥰My wangu simu inakata chaji nipitie hapa MSIMBAZI B. Nipo ndani ya kituo cha mwendokasi.
😹😹😹 Mtoto anautaka!!Chiziii wee 😂😂😂😂
Amazon 😹😹😹Sio kichaka, ni pori kubwaa, km sio Hifadhi kabisaa.
😂😂😂😂😂