Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,358
- 9,440
Wewe hutaki 😀😀 kuchukua chombo hiko 🤣🤣Manka una akili sana!
Wewe hutaki 😀😀 kuchukua chombo hiko 🤣🤣Manka una akili sana!
Naona Mad Max alikua wa kwanza kwenye foleni wengine tutulie kila mtu atapiga leoAliyepokea mgeni atuwakilishe vizuri
Mchawi gari sasa.Wewe hutaki 😀😀 kuchukua chombo hiko 🤣🤣
Kashafikishwa Rose Garden tayari watu wanaenda kujiliia Donut 🍩 kwenye LimousineAiseeeeeee
Nipo na kimbutare apa vp nafika wapi niweke locationNategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious
Asanteni
Daah ila huyu kachoma sana Gunia la viazi unabebaje 🤣🤣🤣Gunia mbili za viazi
Tokea lini mimi nimekuwa moderator jamani ndegeBinti Sayunii come on!
si mshajua wanaume wa dar wanapenda chips mnaenda na viaziDaah ila huyu kachoma sana Gunia la viazi unabebaje 🤣🤣🤣
Tumpakie kwenye bagadu 😂😂Mchawi gari sasa.
Ushaanza kuongea kikwenu sasa Bagadu ni niniTumpakie kwenye bagadu 😂😂
Kwamba 😂😂😂 🙌si mshajua wanaume wa dar wanapenda chips mnaenda na viazi
😂😂😂 au basi tumwacheUshaanza kuongea kikwenu sasa Bagadu ni nini
We ni mod kabisaTokea lini mimi nimekuwa moderator jamani ndege
Wenzetu saiv wanatafuta cha second huko😂😂😂 au basi tumwache
😂😂😂 subiri ushuhuda keshoWenzetu saiv wanatafuta cha second huko
Hiko cheo unanipa wewe au siyo?We ni mod kabisa
we kirahis hvo, wew huogopi yu ti ai?Mabazazi ya JF mnaitwaa hukuu, kuna mteja wenu ana jambo na nyie. Lol
Wee huogopiiii?
Njoo PM mkuu.Hiko cheo unanipa wewe au siyo?