Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,680
- 3,833
ngoja aje Mad Max atupe mrejeshoHaina makombo
ngoja aje Mad Max atupe mrejeshoHaina makombo
sema kakuku ka kienyeji cuteloveDar kila kona wamejaa mademu, sasa kwa nini mje kutoleana macho hapa?
wew Mpaji ni Mungu umeshindwa kuielewa hi code ya mdada hapa.Tafuta tu mwingine nawe ukampokee, huyo kishapewa funguo za gero kuwa kesho afanye usafi afue na ma jeans
sio dada ake ziz k kwel hyoTupunguze matarajio wakuu,nilifika stendi lakini nilichokutana nacho very sad
Kumbe ni kidume binti
Nina hamu naye mkuu 😂hahahaa umemkamia maana yake au unaukame nae
Insult.Baada ya kufika stand nilimchukua mgeni wangu mpaka ghetto
But nilichokutana nacho ndio hiki
Nimeanza kutumia dozi ya Azuma
My wangu simu inakata chaji nipitie hapa MSIMBAZI B. Nipo ndani ya kituo cha mwendokasi.😹😹😹
JF ni kichaka chenye wanyama wakali..!!
Wengine siyo sisi!Da'salam hata hata uki date na mtu anakukimbia
Njoo tegeta kibaoni mremboNategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious
Asanteni
Hahah😂😂😂😂😭Wee waache, wakutane na ingizo jipya mjini, hata Enema haijui.
😂😂😂😂😂😂
Ulichelewa wapii nawee? Bas wee mpeleke stand siku akiwa anarudi mkoa, vipi gari c unayoo?Nimeikosa nafasi mrembo keshawahiwa.
Na Kaswende km kifungashio. 😂😂😂😂we kirahis hvo, wew huogopi yu ti ai?