Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Kama amemuingilia kinguvu ndio tayari kambaka.

Na kwanini utumie force kupata tendo, tendo ni burudani..
Shika pale shika hapa, nyonya huku nyonya kule..
Mwenyewe atalegea,
Walete, mpira kati...

Kama hajisikii usilazimishe kwa nguvu.
 
Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka.

Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao.

Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.

Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.

Jamii itamwonaje au wazazi wake atawaambiaje kuwa mume wake huwa anambaka? Everything is confusing.
Amtafutie mwanamke mwingine wa kumsaidia majukumu wakati kachoka.

Maana huenda anachoshwa na boss wake kila siku.
 
Kwahiyo huyo mke anaumwa kila siku?
Mwanaume anaonekana anapewa kwa kupimiwa mke kila siku kujidai anaumwa 🤣

Mwisho mbako unatokea
 
Kwahiyo ni biashara hii kila mtu analinda maslahi yake yasitembee bure?
Ukiolewa kubali kulala bila chupi.
Ndoa haihitaji ujuaji
Unajua ni psychological torture mwanamke kuwa anamnyima unyumba mmewe
Hii inamuathiri sana mwanaume
Kwakuwa tu wanaume hawana watetez
Feminist wapo kumdhulumu mwanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom