Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.
Huyo dada yako hamtaki huyo jamaa yake sasa si atemane nae tu analala nae kitanda kimoja halafu hampi mambo fulani yeye alifikiri ameolewa na shoga au?
 
Madhara yapo kibao tu,kwani hujui Madhara ya mtu kubakwa
Michubuko hata bila kubakwa inakuwepo tu kikubwa huyo dada yako hamtaki jamaa yake mwambie atemane nae sasa analala nae kitanda kimoja halafu kugongwa hataki anahisi amelala na wifi yake au? Au anamchukuliaje jamaa ndio maana jamaa anaamua kujichukulia sheria mkononi tu km ulikua haujui maana ya kujichukulia sheria mkononi ndio hio sasa sio ile uliyokua unaaminishwa na vijana wapuuzi
 
Kumwambia waachane siwezi mimi, mapenzi hayashauriwi kamwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom