Hapo kobaz aliwin kuruhusiwa kuwa na wake wanne huyu akizingua ni safari unaenda kupona mjengo mwingineNdoa mtihani, kuna kunyimwa bwashee! 😊
Hiyo ni kawaida lakini sio kila siku hayuko sawa labda atakua na tatizo zaidi wanashindwa kufungukiana wao kwa waoHata kama ni rafiki yako si kuna muda anaweza akawa hayupo powa lakini
MtihaniHapo kobaz aliwin kuruhusiwa kuwa na wake wanne huyu akizingua ni safari unaenda kupona mjengo mwingine
Sasa mtu umetoa mahari kwao anafikiri kwenye ndoa amekuja kufatilia tamthilia ya otthman bey kuna haja ya kuwafunda sana ata kipindi cha miezi miwili hawa mabinti wa kisasa kama ilivyokua awali
Kijana wa watu sheria inaenda kumbana kwasababu ya kumstiri mtoto wa mtu
Lakini pengine mwanamke anasababu za msingi hivyo jamaa asikii la muazini wala mkim swala ni akitaka anaweka tu
Wewe herena mbona unajifanya kama sio wewe, jiamini then tutakupa ushauri unaostahikiJuzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka.
Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao.
Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.
Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.
Jamii itamwonaje au wazazi wake atawaambiaje kuwa mume wake huwa anambaka? Everything is confusing.
Yes, legally, a husband can be prosecuted for raping his wife under Tanzanian law, but only under specific, strict conditions..Je unawaza kumbaka mke wako wa ndoa mkuu ! So sheria haijasema kwa mtu aliyeolewa hapo so akienda kushitaki inakuwaje hapo nipe ushauri hebu hap
Hahahaaa kwanini mkuu?Kumbe mwenzetu ni learned friend!!!!
utafungwa mbwa wewe!😀Mimi siku wewe ceramic nikishakabidhiwa sahau kuhusu hizo sheria.
Watoto wakilala ni mwendo wa mikiki mikiki.
Nimekupata mkuu na home kwa wazazi unaanzaje kusema mama baba mume wangu ananibaka ! Hapo ndo anashindwa kusema watamuelewaje na watamuonaje si rahisiYes, legally, a husband can be prosecuted for raping his wife under Tanzanian law, but only under specific, strict conditions..
Mpaka iwe kesi ina maana kuna namna imemuathiri victim, mnaweza kufile divorce or separation,
kama umemuumiza,hayuko timamu au under 18 you'll undergo consequences, ataanzia polisi then dawati la jinsia(GBV), kesi itaenda mahakami and you'll be accountable for your crime!
Leo nimekufuma, nilishaona, huyu mtu anaandika kingereza kimenyooka ni profession ipi? Leo nimeamini ni msomi mwenzao. HongeraHahahaaa kwanini mkuu?
Wewe utakubali mume wako nifungwe?utafungwa mbwa wewe!😀
Wakili msomi unaupiga mwingi hadi unamwagika. Kilichobaki ni kufungua Law firm yetu tuanze kula pesa za wanandoa wanaobakana.Nakwambia hivi, ukiripot inafanyiwa kazi ni vile sheria zetu hazitiliwi maanani plus ushwa kwa sana, case za ubakaji nazozijua zipo Tanzli, japo unakuta spouses walitengana lakini kesi zipo! ila ikiangukia kweye unyanyasaji wa kijinsia ni GBV lazima itafatilia tu!
Sheria haina mambo ya kufikirika dear brother, kesi hizi ni za matukio halisi yaliyotokea hapo awali(precedents) Nenda kaangalie TanzLII, utakutana na case laws kibao tu, japo kwa nchi kama yetu direct cases hakuna maybe za separation ndio utazikuta huko maana kumbuka hizi zote mahakama inaangalia!Inaweza akiwa fictious
Nisamehe mkuu🤣Unanibananisha kama nipo kwenye oral defense mkuu😂😂
Wasikutishe wewe endelea tu kumuingilia. Kama hataki mpe taraka.Kwa moto
Duh mpaka nimepaliwa🤣Kaa mbali na ndoa za watu we kisokolokwinyo, we jikute tu DR PHIL