Unafikiri kwanini nyuki anatoa asali lakini ni very violent.Sugar unalamba kwa u romantic siyo violence
Unafikiri kwanini nyuki anatoa asali lakini ni very violent.Sugar unalamba kwa u romantic siyo violence
Nani kasema haiwezekani mkuu! Maisha ni machaguo, Biblia haijakataza wanaume wafuasi wa Kristo kuwa na wake wengi. Ni mafundisho potofu tu yanawakataza watu wasioe au kuolewa.Swadta kwa Muslim its OK but for Christian haiwezekani mkuu
Kwenye taasisi ya NDOA ubakaji haupo! Nikushindwa kwendana na ukubwa wa hisia za mtu .mrn mm nikutwax3 irimradi niwe of bas! Ubakaji upo wa watoto tu mkuu.Ubakaji kwenye ndoa upo au haupo tuanzie hapo kwanza!
Mkuu kwa maelezo ya jamaa hapo juu mume kalazimisha sex ila katika mazingira mengine tofauti ya ugonjwa au kuwa period mke anatakiwa kutoa tunda wakati wowote kwa mumewe kwa mujibu wa mafundisho ya biblia.Tajiri mkeo, ukimuomba mlale, akakataa ukalazimisha unakuwa umetenda kosa la kubaka. Na adhabu yake ni miaka 30 na kazi ngumu au viboko, au vyote kwa pamoja. 😊
Hakikisha mkeo anakuruhusu kwa ridhaa yake.
Cooking and cleaning should not be gendered mkuu, they are basically life skills and responsibilities.. though we sociologists and economists highlight it as “unpaid labour” to show inequality..If a man cooks and cleans, it is called being an adult. But If a woman cooks and cleans, it is called unpaid domestic labour and carrying the load.
Seran please add your remark unto this matter.
gender InequalityGender violence or discrimination 😀
Hakunaga mapenzi yenye maumivu kama unampenda utamsikiliza!Sasa sukari ya mke wangu wewe si ni mali yangu. Na fimbo yangu ni mali yako.
Endelea kujifanananisha na nyuki!Unafikiri kwanini nyuki anatoa asali lakini ni very violent.
Kama hutaki kutoa kyuma Bora ukarudi KwenuHakunaga mapenzi yenye maumivu kama unampenda utamsikiliza!
Mkuu kwa maelezo ya jamaa hapo juu mume kalazimisha sex ila katika mazingira mengine tofauti ya ugonjwa au kuwa period mke anatakiwa kutoa tunda wakati wowote kwa mumewe kwa mujibu wa mafundisho ya biblia.
Halafu asubuhi unaacha pesa ya matumizi mezani au?Labda kwa mafundisho ya Biblia, kisheria mke anatakiwa kutoa "tunda" kwa ridhaa. It must be consensual, hataki kumlazimisha kumwingilia ni kosa mbele ya sheria na kuna adhabu. 😊
Halafu asubuhi unaacha pesa ya matumizi mezani au?
Kwahiyo ni biashara hii kila mtu analinda maslahi yake yasitembee bure?Kama hutaki kutoa kyuma Bora ukarudi Kwenu
Yaani ushibe ugali wangu
Nikutunze, nyumba yangu, halafu ubane mapaja
Siku ukiwa mke wangu mimi Kukugonga nakugonga na mambo mazuri nakupa.Endelea kujifanananisha na nyuki!
Haiwezekan kila siku kuwe na excuses.Hakunaga mapenzi yenye maumivu kama unampenda utamsikiliza!
mambo mazuri gani hayo yenye maajabu ambayo siwezi kupata mpaka wewe unipe?Siku ukiwa mke wangu mimi Kukugonga nakugonga na mambo mazuri nakupa.
Utachagua kubaki au kuondoka.
Kila mtu ameumbwa kwa upekee wake. Ukienda kwa mwingne utaanza kunikumbuka namna namkunja mtoto wa mama mkwemambo mazui gani hayo yenye maajabu ambayo siwezi kupata mpaka wewe unipe?
Labda uniroge!Kila mtu ameumbwa kwa upekee wake. Ukienda kwa mwingne utaanza kunikumbuka namna namkunja mtoto wa mama mkwe
Siamini kwenye hayo mambo. Ila najua utanikumbuka kama wabongo wanavyomkumbuka MwendazakeLabda uniroge!