Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,597
- 86,093
Huwezi kumseduce mkeo kwa sababu ushampata humo ndani ndio ajichanue tu kama tausi muda wote! Kuna stress kuna kuchoka kuna kukosa hamu, wanawake hawajaumbwa kama nyie muda wote kinanuka, muandae vizuri mkeo bana!Ukiolewa kubali kulala bila chupi.
Ndoa haihitaji ujuaji
Unajua ni psychological torture mwanamke kuwa anamnyima unyumba mmewe
Hii inamuathiri sana mwanaume
Kwakuwa tu wanaume hawana watetez
Feminist wapo kumdhulumu mwanaume