Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Safi ushauri mzuri na kwa wazazi anaanzaje kusema ni kipengele !
wazazi waweke kando kwanza! ukiwa kwnye ndoa wazazi wasikuumize kichwa, wao ni kupewa taarifa tu mmefka mwisho basi, mambo ya ndani ni aibu kuyasambaza kila mtaa!
 
wazazi waweke kando kwanza! ukiwa kwnye ndoa wazazi wasikuumize kichwa, wao ni kupewa taarifa tu mmefka mwisho basi, mambo ya ndani ni aibu kuyasambaza kila mtaa!
Nimekupata
 
Leo nimekufuma, nilishaona, huyu mtu anaandika kingereza kimenyooka ni profession ipi? Leo nimeamini ni msomi mwenzao. Hongera
Aaaaah jamani! mbona nimeandika vitu ya kawaida kabisa mkuu! 😀
 
Niujinga kusema anambaka Hiyo ninguzo ya mahusiano ' ikiwa amepoteza hisia nae aombe taraka sio visingizio visivyo na hoja,au kama jamaa Yuko vzr sana akubali kupandishwa cheo.
 
Niujinga kusema anambaka Hiyo ninguzo ya mahusiano ' ikiwa amepoteza hisia nae aombe taraka sio visingizio visivyo na hoja,au kama jamaa Yuko vzr sana akubali kupandishwa cheo.
Ubakaji kwenye ndoa upo au haupo tuanzie hapo kwanza!
 
Haya ndio madhara ya kuwa na koloni moja tu, likisusa au likiumwa umekwisha, mwanaume inabidi uwe na makoloni kadha wa kadha ili ikitokea emergency uwe na pa kujipooza
 
Kwani mtu akisema Leo sipo vizury we unakamata na kumwingilia kwa nguvu huyu si mkeo mtu akiwa hayupo sawa si unaweza kujua au ni kutumia nguvu tu
Mwili sio wake ni wa mumewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom