Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Hivi unaweza kumbaka mkeo?

Lengo kubwa la ndoa ni ngono ( kulombana)
Kama kwenye ndoa wanandoa hawashiriki ngono, hiyo haipaswi kuwa ndoa.
Kama una mwanaume hutaki akulombe basi Rudi kwa baba ako.
Yaani unataka ndoa Bado unakuwa mvivu wa kukalia mbor.o
Khaa! Kumbe tena kuna hayo huko ndoani😱

Lengo kuu ni kuikalia tu🫢

Basi wacha nirudishe komwe kwetu..🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️
 
Huwezi kulala kitanda kimoja na mwanaume asiye baba ako au kaka ako na aliyekamika kibaolojia
Take ngono eti ni raping
Raping kitanda kimoja?
Mkiwa chumba kimoja na kitanda kimoja ina maana uko tayari muda wowote akulombe
Sipinga shida kuna kuumwa kuchoka huwezi muonea huruma mwenza wako
 
Tajiri mkeo, ukimuomba mlale, akakataa ukalazimisha unakuwa umetenda kosa la kubaka. Na adhabu yake ni miaka 30 na kazi ngumu au viboko, au vyote kwa pamoja. 😊

Hakikisha mkeo anakuruhusu kwa ridhaa yake.
Wao wanavyozibaka pesa zetu ni sawa? Hakuna cha bure duniani. Ukitaka kula vya watu lazima ukubali kuliwa, kwa hiyari yako au kwa kulazimishwa
 
Khaa! Kumbe tena kuna hayo huko ndoani😱

Lengo kuu ni kaikalia tu🫢

Basi wacha nirudishe komwe kwetu..🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️
Hawa vinaja wanachangia hizi mada kwanza wameoa kweli hawa ama wanatupigia kelele tu humu😃😃
 
B14BB71D-34BC-4EC1-AE52-CCCF38C3EB22.jpeg

Acha tu mkuu..
 
Khaa! Kumbe tena kuna hayo huko ndoani😱

Lengo kuu ni kaikalia tu🫢

Basi wacha nirudishe komwe kwetu..🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️
Huwezi lala kitanda kimoja na mwanaume atake kyuma use me umebakwa
Hapo ni mvutano
Ndo maana hata wanafunzi shuleni wanawatenga
Ndo maana hapo Kwenu hulali na kaka ako au baba ako kitanda kimoja.

Mkilala kitanda kimoja shuka 1 ina maana uko tayari Kwa shughuli ya kuingiliwa muda wowote
 
Kwenye suala la sex mwanaume yupo tayari muda wowote lakini wanawake wana changamoto nyingi sana. Wazee wetu walijua hilo ndio maana kukawa na utaratibu wa kuoa wake wengi. Sisi tunajifanya tumestaarabika matokeo yake ndio haya. Mwanamke ni mkeo umemtolea mahari na unamtunza lakini ukiitaka uanze kuomba kama unatongoza, na mwanamke akishajua tu tu hauna option nyingine, ni balaa. Hawa wenzetu hawana hekima na busara wanapokua na nguvu kubwa zaidi ya kufanya maamuzi ya mwisho. Huyo kskupa story ya upande wake lakini ukimsikiliza na mumeo utastaajabu. Sio ajabu mpaka anafikia hatua hiyo unakuta ni mwezi mzima hajapewa game
 
Kumbe😱

Basi itabidi kila mmoja alale kitand achake kupunguza taharuki!
 
Kwenye suala la sex mwanaume yupo tayari muda wowote lakini wanawake wana changamoto nyingi sana. Wazee wetu walijua hilo ndio maana kukawa na utaratibu wa kuoa wake wengi. Sisi tunajifanya tumestaarabika matokeo yake ndio haya. Mwanamke ni mkeo umemtolea mahari na unamtunza lakini ukiitaka uanze kuomba kama unatongoza, na mwanamke akishajua tu tu hauna option nyingine, ni balaa. Hawa wenzetu hawana hekima na busara wanapokua na nguvu kubwa zaidi ya kufanya maamuzi ya mwisho. Huyo kskupa story ya upande wake lakini ukimsikiliza na mumeo utastaajabu. Sio ajabu mpaka anafikia hatua hiyo unakuta ni mwezi mzima hajapewa game
Nimekupata solutions ni raping siyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom