Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,111
Jana kuna mtu kaumizwa mwendo kasi au ndio hilo bando la chuo!Walichoweza ni kutufanya tuwe masikini tu.
Pole sana kamanda kwa umasikini.Walichoweza ni kutufanya tuwe masikini tu.
CCM ni wapuuzi LAKINI vyama vya UPINZANI hasa Chaggadema ni WAPUUZI MARA 500.
Ogopa sana. Utaruka mavi ukanyage Uharo wenye safura.
Kitu pekee kinachoweza kusaidia labda kuwe na mgongano wa FIKRA na MAAMUZI. Kusiwe na chama chochote chenye MONOPOLY.
Ujue kuchagua lugha za kutumia huku, unajidai mjuaji kumbe ni mpuuzi tu mwenye hasira za maisha, haya mauchafu yako ongea na mkeo au dadako hapo sebuleni.CCM ni wapuuzi LAKINI vyama vya UPINZANI hasa Chaggadema ni WAPUUZI MARA 500.
Ogopa sana. Utaruka mavi ukanyage Uharo wenye safura.
Kitu pekee kinachoweza kusaidia labda kuwe na mgongano wa FIKRA na MAAMUZI. Kusiwe na chama chochote chenye MONOPOLY.
Huyo Mmawia shamba lake la mikorosho kule Mtwara alimuuzia Selasini!Pole sana kamanda kwa umasikini.
Ila maboss zako kina Mbowe, Msigwa, Sugu, John Heche, Mnyika na Lissu wao siyo masikini tena chini ya utawala huuu huu wa CCM.
Wanakula mema ya nchi.
Akili kichwani. Wewe utabaki kutumika kwenye maandamano tu na kutukana mitandaoni.
Heri yako unaye ishi kwa kuramba miguu ya wanao kulisha na kukupa jeuri ya kuipigania ccm.Pole sana kamanda kwa umasikini.
Ila maboss zako kina Mbowe, Msigwa, Sugu, John Heche, Mnyika na Lissu wao siyo masikini tena chini ya utawala huuu huu wa CCM.
Wanakula mema ya nchi.
Akili kichwani. Wewe utabaki kutumika kwenye maandamano tu na kutukana mitandaoni.
CCM ni wapuuzi LAKINI vyama vya UPINZANI hasa Chaggadema ni WAPUUZI MARA 500.
Ogopa sana. Utaruka mavi ukanyage Uharo wenye safura.
Kitu pekee kinachoweza kusaidia labda kuwe na mgongano wa FIKRA na MAAMUZI. Kusiwe na chama chochote chenye MONOPOLY.
Kwa maana yako bundle la chuo halistahili kutumiwa?Jana kuna mtu kaumizwa mwendo kasi au ndio hilo bando la chuo!
Mke mchezo? Yeye mwenyewe ni mke wa watu.Ujue kuchagua lugha za kutumia huku, unajidai mjuaji kumbe ni mpuuzi tu mwenye hasira za maisha, haya mauchafu yako ongea na mkeo au dadako hapo sebuleni.
Katiba mpya italetwa na wananchi wenyewe.Dawa ni katiba mpya itakayoruhusu wagombea binafsi
Hivi ndivyo mnavyomlamba miguu mungu Mbowe ili maisha yaende ππππHeri yako unaye ishi kwa kuramba miguu ya wanao kulisha na kukupa jeuri ya kuipigania ccm.View attachment 2009808
Jibu swali viliagizwa na nani?Hivi ndivyo mnavyomlamba miguu mungu Mbowe ili maisha yaende
Ndio maana saaa hivi yuko JELA mmekuwa wakali maana mmeona DHAHMA imeshuka, mtakufa kwa NJAAAA
Katiba mpya italetwa na wananchi wenyewe.
Hakuna mwanasiasa wa kukuletea katiba mpya inayokunufaisha wewe.
Wanasiasa wana TABIA ya kujiangalia wao kwanza au ku-capitalise kwenye matatizo yako ili wanufaike.
Na ndio maana vitu vyenye manufaa kwa wanasiasa wote huwezi kusikia vinapigiwa kelele hata kama vinawaumiza wananchi, mfano kama Mishahara mikubwa ya wabunge, marupurupu, pension ambazo siyo makato kutoka kwenye mishahara yao wala Ruzuku ambazo ni kodi na tozo kabisa kutoka wavuja jasho.
Kelele zinapigwa wasipokula pamoja. Hata sasa wanataka waitane wazungumze namna ya KULA na siyo Kumsaidia MLALAHOI.
TUME HURU, KATIBA MPYA haziwezi kumletea mtu chakula mezani.
Hata kwa Tume hii, wasimamizi wanaweza kuheshimu tu maamuzi ya wapiga kura. Basi.
Aliyeshinda akapewa na aliyeshindwa akakubali.
Unaichukia sana corona maana imekuwacha mjaneHivi ndivyo mnavyomlamba miguu mungu Mbowe ili maisha yaende
Ndio maana saaa hivi yuko JELA mmekuwa wakali maana mmeona DHAHMA imeshuka, mtakufa kwa NJAAAA