Hivi serikali za CCM miaka 70 ya uhuru zimeweza nini mbona vitu muhimu kama Maji na umeme bado shida kuu?

semtawa

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
364
500
Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo

Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa dunia, CCM yenyewe hata ishu ya madawati wameshindwa kusolve miaka yote hii ya kuwa madarakani.

Leo hii Nchi imekauka kaukau, maji hakuna, umeme wenyewe ni wa mgao. Nchi ina maziwa makubwa mengi na mito lukuki lakini serikali za CCM zimeshindwa kusolve hizi ishu.

Sasa kitu gani CCM wanachojua?
1. Wanajua kucontrol mass ya wananchi, kuwapumbaza, kuwalaghai na kufanya uzandiki

2. Wanajua kumbambikizia watu kesi za kisiasa, kutumia dola ili kubaki madarakani

3. Wanajua kufanya ubadhirifu na kutumbua pesa za umma, safari zisizo na tija, kupeana vyeo serikalini kutokana na koo, angalia wanavyogawiana nafasi kutokana na kuwa huyu ni mtoto wa fulani alikuwa na cheo fulani zamani

4. Mipango mibovu, na priorities feki
Leo unaenda kununua midege wakati watu hawana maji ya kunywa ya uhakika, shule hazitoshi, umeme siyo wa uhakika. Hata hiyo Stieglers ikikamilika, megawatts 2000 bado ni peanut, nilitegemea kuona tunaanza projects leo za kuzalisha megawatts kuanzia 10000 na kuendelea

Tatizo kuu la CCM ni Low IQ
Wenzao wa chama cha kikomunisti wanachukua wanachama based on merits, na watu wenye merits wana IQ nzuri. Sasa CCM inachukua watu kutokana na uwezo wao wa kusifu na kujipendekeza au uwezo wao w kumtukana Mbowe, What do you expect?
Hawa Low IQs wataifikisha nchi wapi

Acha kujadili CCM na Serikali kwa ujumla. Halafu ni Tanzania nzima haina maji? Yes tuna vyanzo vingi tunahitaji kuvitumia kuzalisha maji, ila unapojenga hoja usijumlishe taasisi nzima na kubeza wana CCM au watendaji wote wa Serikali. Wapo watu wana IQ kubwa ndiyo maana wanaongoza nchi.
 
IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Feb 27, 2021
415

Hawaongozi Kwa sababu ya IQ Yao. Wanaongoza sababu ya TEUZI Tu. Ndungai ana IQ? Nijibu.
 
Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
554
1,000
Pole sana kamanda kwa umasikini.

Ila maboss zako kina Mbowe, Msigwa, Sugu, John Heche, Mnyika na Lissu wao siyo masikini tena chini ya utawala huuu huu wa CCM.

Wanakula mema ya nchi.

Akili kichwani. Wewe utabaki kutumika kwenye maandamano tu na kutukana mitandaoni.
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa na ndo tatizo la ccm miaka 60 ya uhuru sehemu ya kilomita 5 kutoka ziwani mnashindwa kupeleka maji
 
Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
554
1,000
Acha kujadili CCM na Serikali kwa ujumla. Halafu ni Tanzania nzima haina maji? Yes tuna vyanzo vingi tunahitaji kuvitumia kuzalisha maji, ila unapojenga hoja usijumlishe taasisi nzima na kubeza wana CCM au watendaji wote wa Serikali. Wapo watu wana IQ kubwa ndiyo maana wanaongoza nchi.
Kama wenye IQ kubwa wameshindwa unaonaje tukiwajaribu wenye IQ ndogo
 
Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
901
1,000
Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo

Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa dunia, CCM yenyewe hata ishu ya madawati wameshindwa kusolve miaka yote hii ya kuwa madarakani.

Leo hii Nchi imekauka kaukau, maji hakuna, umeme wenyewe ni wa mgao. Nchi ina maziwa makubwa mengi na mito lukuki lakini serikali za CCM zimeshindwa kusolve hizi ishu.

Sasa kitu gani CCM wanachojua?
1. Wanajua kucontrol mass ya wananchi, kuwapumbaza, kuwalaghai na kufanya uzandiki

2. Wanajua kumbambikizia watu kesi za kisiasa, kutumia dola ili kubaki madarakani

3. Wanajua kufanya ubadhirifu na kutumbua pesa za umma, safari zisizo na tija, kupeana vyeo serikalini kutokana na koo, angalia wanavyogawiana nafasi kutokana na kuwa huyu ni mtoto wa fulani alikuwa na cheo fulani zamani

4. Mipango mibovu, na priorities feki
Leo unaenda kununua midege wakati watu hawana maji ya kunywa ya uhakika, shule hazitoshi, umeme siyo wa uhakika. Hata hiyo Stieglers ikikamilika, megawatts 2000 bado ni peanut, nilitegemea kuona tunaanza projects leo za kuzalisha megawatts kuanzia 10000 na kuendelea

Tatizo kuu la CCM ni Low IQ
Wenzao wa chama cha kikomunisti wanachukua wanachama based on merits, na watu wenye merits wana IQ nzuri. Sasa CCM inachukua watu kutokana na uwezo wao wa kusifu na kujipendekeza au uwezo wao w kumtukana Mbowe, What do you expect?
Hawa Low IQs wataifikisha nchi wapikuna kitu kimoja hauko sawa.. Tatizo lao sio low IQ.. Ngoja nikupe mfano..

kwanza kwa uelewa wangu tafsiri rahis ya mtu mwenye low IQ maana yake ni "Mjinga" wa kiasi flani katika kufikiri jambo kwa mapana zaidi.. au kama wamavyosema wazungu "out of the box"

sasa chukulia kazin kwako ndo kama taifa na mwajiri wako ndo viongozi wa hilo taifa na nyie wafanyakaz na wenzio ofcn ndo Raia wa kawaida.. so ikatokea umeomba salary raise lakini boss wako akakwambia yafuatayo..

"tunapandisha mishahara kutokana na uwezo wa akili.. na yeye ndo mfanyaji assassment ya akili za watu ofcn. so anakwambia hautapandishiwa mshahara sababu bado uwezo wako wa akili ni mdogo kuliko watu wote ofcn kwenu kwan hata mshahara unaopata sasa hv ni sababu ya huruma yake tu"

ila akakuahidi anaendelea na juhud za kuhakikisha anatafuta njia bora za wewe kuongezewa mshahara

sasa hapo huwez kusema Boss wako kilaza.. au upeo mdogo.. sababu anajua maelezo aliokupa
ni ya kipumbavu na anajua na wewe unajua kuwa ni ya kipumbavu amefanya kwa makusudi au dharau

ila kukuonyesha kuwa Ur at his mercy and it doesn't matter kama maelezo anayokupa kuhusu jambo flan yanamashiko ama hayana mashiko anataka ujue tu kuwa yeye ndo mwokozi wako katika maslah mapana ya maisha yako..

So in short amkugeuza kuwa wewe ndo Mjinga a.k.a "low IQ" na anajua unajua anakufanya mjinga ila sababu wafanyakazi wenzio amewaweka mfukoni so anajua hata ukienda ku complain kwao watasema kile ambacho kawaambia waseme

kutamatisha ni kuwa hao Viongoz hawana low IQ.. ila wanajua wanachofanya so ukubali usikubali sababu yoyote watakayotoa katika jambo lolote unachotakiwa kufanya ni kukubali..

Ukisema wana low IQ automaticaly umecheza wewe ngoma yao na utajikuta wewe ndo low IQ kwa kutotambua Akili zao na makusudi wanayofanya
 
semtawa

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
364
500
Hawaongozi Kwa sababu ya IQ Yao. Wanaongoza sababu ya TEUZI Tu. Ndungai ana IQ? Nijibu.
Siyo wana CCM wote sasa wamepewa nafasi. Wapo vijana wana IQ kubwa tu hawajapata nafasi. Ndiyo maana nikasema si sahihi kutoa lawama za jumla. Kwa Serikali au CCM. Kuwa specific tatizo liko wapi.
 
IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Feb 27, 2021
415
500
Tatizo nikwamba ,CCM mfumo wake NI mmbovu Sana. Ndio maana wanaunda Serikali mbovu. Nimekuonyesha mfano Tu WA TEUZI za WAKUU WA MIKOA na WILAYA..na kurugenzi ZOTE. MTU mmoja. Kapata mdagani WA kuwajua wateule wake. Ndio maana nikaswma WOTE wabovu. WANATAKIWA pawe na MABASILIKO.hapo hata Wana CCM wenye IQ UTAWEZA KUWATEUA KWA URAHISI. Mfano hivi waziri mzima unawaambia Watanzania Kama hawataki wahamie Burundi kweli hiyo ndo IQ ?
 
igogondwa

JF-Expert Member
Aug 1, 2021
1,784
2,000
Pole sana kamanda kwa umasikini.

Ila maboss zako kina Mbowe, Msigwa, Sugu, John Heche, Mnyika na Lissu wao siyo masikini tena chini ya utawala huuu huu wa CCM.

Wanakula mema ya nchi.

Akili kichwani. Wewe utabaki kutumika kwenye maandamano tu na kutukana mitandaoni.
Angalia usije kupakatwa na hao jamaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom