Watanzania wakitetemeka kuiomba serikali ya CCM kubinafsisha huduma za umeme na maji

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Siku zote, kwenye ushindani ndipo kwenye mafanikio na maendeleo makubwa hasa hasa ushindani ulio wazi na utangazwao miongoni mwa washindani na wafuatiliaji kwa ujumla

Mfano: Kusingekuwa na Yanga hii bila uwepo wa Simba, and viceversa is true. Kusingekuwepo Muscle Ndefu mashuleni bila uwepo wa motisha ya kuwania nafasi

Nimekutana na watanzania kadhaa wakitetemeka kuiomba serikali ya Shishiemu kubinafsisha huduma za maji na umeme. Yawepo makampuni mengine mengi tofauti na TANESCO ama DAWASCO ili nayo yajaribu kukabiliana na changamoto hizi, huenda tukatoboa

Ref: Maisha ya Wakenya. Maji na Umeme ni hadithi za Mwana Marundi
 
Back
Top Bottom