mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sasa tukisema ukweli ni kosa au dhambiUsimalizie mkuu....mkulu alipiga marufuku kauli hiyo
Sasa tukisema ukweli ni kosa au dhambiUsimalizie mkuu....mkulu alipiga marufuku kauli hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23] mzee nguvu anasave kwa ajili ya sitakwa sitamzee anatumika sana kwenye sita kwa sita leo alikuwa anatetemeka kabisa!
Ma dog tu ndo yamemuharibia!Nashangaa wanaoleta kigezo cha umri....wakati kuna kina mzee Kingunge wamakufa na nguvu zao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] JFMatatizo ya kuoa watoto wadogo. Inabidi mara kwa mara uzame kwa chumvi kumridhisha mwenza. Chumvi plus kula chumvi nyingi = SALTY
Alipata msukosuko sana toka kitengo cha shekeli, nusura amrudie baba yetu.Alianza kwa kasi kulikosoa jiwe lilipoingia madarakani. alichopata kilimsababishia minor stroke. Leo amekuwa wa ndiyo mzee mradi biashara zake zinakwenda
Huyu mzee nimemuona kama mara mbili hivi...
Naona umri nao unachangia
Umri ukitupa mkono na nguvu nayo inapungua
Sure mkuu!! Mimi nilikuwa namsikiliza nikiwa ndani ya gari through TBC Taifa...nilipata na mshangao kwa sauti yake na namna alivyokuwa anaongea. Mimi nilidhani ni mgonjwa, labda nyie mliomuona through TV mnaweza kusema zaidi. Lakini kweli anaonekana leo hakuwa timamu sana.
Jua kua huyo ni binaadam na sio samaki kama kila akiwa mkubwa na nguvu zinaongezeka , binaadan kadri umri unavokua mkubwa bas na nguvu zko hupungua
Huyu mzee alipitia kipindi kigumu sana mwaka jana, msukosuko huo ulimwathiri kiafya sana. Mambo ya kodi yalimgeuka kiasi cha kumteteresha kibiasharaUmri nao unamtupa mkono sasa hivi kuna vijana chipukizi wanakuja kwa kasi bado unataka ashindane nao?
Ma mbwa ya kizungu si ndio yaliyomng'ata?[emoji2] [emoji2] "Ma dog" imekaaje hiyo sjaelewa mtu wangu
[emoji122][emoji122][emoji122]labda umri
labda anaumwa
labda uchovu
Mwinyi tangu amestaafu anakula pensheni hana stress yeyoteMzee Mwinyi amegonga 90 lakini bado ana nguvu zake