Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

Sure mkuu!! Mimi nilikuwa namsikiliza nikiwa ndani ya gari through TBC Taifa...nilipata na mshangao kwa sauti yake na namna alivyokuwa anaongea. Mimi nilidhani ni mgonjwa, labda nyie mliomuona through TV mnaweza kusema zaidi. Lakini kweli anaonekana leo hakuwa timamu sana.
Gari yenyewe daladala ndo unakuja kuitaja hapa.....nyambafuuu kabisa wewe!
 
Naangalia TBC1 LIVE mkutano wa taifa wa baraza la kitaifa la biashara ikulu-Dar es Salaam, naona mzee Reginald Mengi amepewa nafasi ya kuongea ila nilichogundua ni kwamba huyu mzee hayuko sawa kimwili na kiakili (kisaikolojia) kama yule Mzee Mengi halisi tuliyepata kumfahamu hapo mwanzo, huyu mzee amekosa kabisa momentum hata ya kuongea akaeleweka kwani anaonekana kana kwamba amedata.

Kwa tuliobahatika kumjua huyu mzee tangu zamani alikuwa ni jembe kwelikweli, alikuwa hodari wa kuongea vizuri tena kwa hoja kuntu lakini hapa namuona anasoma hotuba yake kama mgonjwa au kama mtu aliyeshikiwa bunduki au panga.

Wapendwa ni kipi haswa kimemkumba mzee wetu huyu kipenzi cha wengi?

Kwa mwenye uelewa atupe majibu.
Hichi kitu hata mie nimekiona,
Anaongea kama kalazimishwa,
nadhani Utu Uzima/Uzee umemkumba au Uoga au vyote kwa pamoja
 
Pole Mtoa mada. Mimi nimeanza kumfahamu mzee Mengi toka 1987 akiwa anaitwa Mzee mengi nafikiri alikuwa kama 40s na sasa ni miaka 30 bado tunamtaka mengi awe vilevile. Alimaliza CPA 1971 UK. sasa ana umri zaidi miaka 70. Ungetaka aweje sasa.
Awe mkakamavu Kama Lowassa...
 
haa haaa mkuu unataka yule bibie amsaidie???
atamwibia yule lol!!
bora akomae, hivi hana mtoto mkubwa amsaidie...!!?

Anae mtoto mkubwa wa kiume anaitwa Abdiel, kylln hawezi msaidia Mengi kwa chochote zaidi ya kumnyonya pesa, sasa anakomaa kufanya kazi hadi uzeeni dooh si anatumikishwa na pesa, nahisi kwa pesa aliyo nayo,...Mengi angekuwa na uwezo wa kuishi miaka 100 ijayo, angeishi bila kufanya kazi yoyote na angeishi the same lifestyle anayoishi sasa zunya
 
ampe huyo abdiel saasa...
kwani nini shida??
 
🙂🙂😀😀😀😀 naona umekwepa kupimwa mkojo kwa SHIJONGE badala ya SIZONJE.
Mkuu wangu,, Polisi wa awamu hii hawachelewi kutafsiri hiyo kitu ukajikuta uko matatani, pamoja na kwamba mahakamani utawagalagaza lakini cha moto utakuwa umekiona!!
 
Pole Mtoa mada. Mimi nimeanza kumfahamu mzee Mengi toka 1987 akiwa anaitwa Mzee mengi nafikiri alikuwa kama 40s na sasa ni miaka 30 bado tunamtaka mengi awe vilevile. Alimaliza CPA 1971 UK. sasa ana umri zaidi miaka 70. Ungetaka aweje sasa.
Hivi 1971 UK, ilikuwa ni CPA au ACCA kama sijakosea?
 
Naangalia TBC1 LIVE mkutano wa taifa wa baraza la kitaifa la biashara ikulu-Dar es Salaam, naona mzee Reginald Mengi amepewa nafasi ya kuongea ila nilichogundua ni kwamba huyu mzee hayuko sawa kimwili na kiakili (kisaikolojia) kama yule Mzee Mengi halisi tuliyepata kumfahamu hapo mwanzo, huyu mzee amekosa kabisa momentum hata ya kuongea akaeleweka kwani anaonekana kana kwamba amedata.

Kwa tuliobahatika kumjua huyu mzee tangu zamani alikuwa ni jembe kwelikweli, alikuwa hodari wa kuongea vizuri tena kwa hoja kuntu lakini hapa namuona anasoma hotuba yake kama mgonjwa au kama mtu aliyeshikiwa bunduki au panga.

Wapendwa ni kipi haswa kimemkumba mzee wetu huyu kipenzi cha wengi?

Kwa mwenye uelewa atupe majibu.
Kila kitu kina mwanzo na mwisho,.
 
Nasikia alipata stroke, kama asingekuwa na hela basi angeenda na maji, ila why still anafanya kazi? kwa pesa zote zile alizonazo ingetakiwa akaishi machame kimyaa, aachane na mambo ya media, kwa utajiri alionao anaweza ku-afford kukaa zaidi ya miaka 100 mingine bila hata kufanya kazi, na kuishi the same lifestyle he's living now...cjui lakin kila mtu na maisha yake malisoka Louis II
Uliza Warren Buffett ana umri gani na anafanya nini kumaintain status alitonayo.

You don't give up until you're gone!!
 
acheni Kusema Umri mbona Raisi Mugabe Ana Miaka 98 Lakini Bado Mbona Yuko Bright
 
Alianza kwa kasi kulikosoa jiwe lilipoingia madarakani. alichopata kilimsababishia minor stroke. Leo amekuwa wa ndiyo mzee mradi biashara zake zinakwenda

Mengi anasumbuliwa na maradhi ya Kiharusi ndio maana Mwili mzima unatetemeka, na hata kutembea mwenyewe hawezi, wala kupanda ngazi pia hawezi.
 
Uliza Warren Buffett ana umri gani na anafanya nini kumaintain status alitonayo.

You don't give up until you're gone!!

Mtu ushakuwa US Dollar multi-millionaire au multi-billionaire, hlf ni mzee wa miaka 70+..kuendelea kuuchosha mwili kisa ku-maintain status kwangu naona ni ujinga, tunatofautiana lakini Eli79
 
Back
Top Bottom