Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

alikua amekwepa kodi halaf wakamwambia alipe au? QUIGLEY
Nisiwe mjuaji sana
Nieleze nilichoelezwa na mfanyakazi wake kuwa "aliingiza mitambo ya kisasa inayohusiana na kazi zake za mawasikiano...mzigo ulikuwa na thamani ya mapesa mingi sana.
Kutokana na kutakiwa kulipa kodi kubwa, aliomba tra alipe kwa awamu na walikubali ombi lake kimaandishi.
Lkn baada ya muda mfupi walimvamia ofisi ghafla na kumtaka alipe zote kwa mkupuo.
Hilo jambo lilimpa mfadhaiko kiasi cha kuteteresha afya yake.
 
Mnauliza vitu ambavyo majibu yake mnayo. Kama mch. kasema mapato ya kanisa yameshuka kwasababu vijana wengi hawana ajira, biashara zimekuwa ngumu kafuatwa na SMG agizo limetoka kwenye mawingu ije kuwa hapo wanaangaliana uso kwa uso ndani ya jumba tukufu?!
 
Nisiwe mjuaji sana
Nieleze nilichoelezwa na mfanyakazi wake kuwa "aliingiza mitambo ya kisasa inayohusiana na kazi zake za mawasikiano...mzigo ulikuwa na thamani ya mapesa mingi sana.
Kutokana na kutakiwa kulipa kodi kubwa, aliomba tra alipe kwa awamu na walikubali ombi lake kimaandishi.
Lkn baada ya muda mfupi walimvamia ofisi ghafla na kumtaka alipe zote kwa mkupuo.
Hilo jambo lilimpa mfadhaiko kiasi cha kuteteresha afya yake.
Watu hawakueshimu makubaliano ya kimaandishi. So sad
 
kama ni kweli, mmh kumbe tra wakatili had kwa wafanyabiashara wakubwa, nlidhani kwa vile ni Mengi wangemkaushia. QUIGLEY
 
Nanukuu "wataishi kama mashetani"
Agizo mara maagizo..omba yasikukute hayo yanayotwa hivyo
 
kama ni kweli, mmh kumbe tra wakatili had kwa wafanyabiashara wakubwa, nlidhani kwa vile ni Mengi wangemkaushia. QUIGLEY
Hivi Tanzania hakuna kupunguziwa kodi kwa wafanyabiashara wakubwa kama motisha kwa Huduma wanazotoa kwa jamii na uwekezaji mkubwa walioufanya kama sehemu ya mchango wa maendeleo kwa Taifa?
 
Watu hawakueshimu makubaliano ya kimaandishi. So sad
Mkuu TRA walizidi ubabe na visasi.
Kwa macho yangu nilishuhudia wakivamia kiwanda flani wakiwa na makufuli, askali polisi, na jwtz, huku wakitukana matusi ya nguoni na kuwaita wamiliki majambazi.
Nilipofuatilia kumbe wale wamiliki wa kiwanda wanadaiwa 320ml, na waliandika barua kuomba kulipa mara 3, na TRA waliwajibu kwa maandishi kuwa wamekubali ombi lao.
Lakini kabla ya tarahe ya malipo ya awali waliokubaliana haijafika, ndipo tra wakavamia
 
Yaani tumefikia hatua sasa hata kama una kamtaji kako unaogopa kukatumbukiza. Naikumbuka ile speech ya Dangote kuhusu mazingira ya uwekezaji nchini.
Tukiambiwa ukweli tunakasirika [emoji30] [emoji30]
 
Hivi Tanzania hakuna kupunguziwa kodi kwa wafanyabiashara wakubwa kama motisha kwa Huduma wanazotoa kwa jamii na uwekezaji mkubwa walioufanya kama sehemu ya mchango wa maendeleo kwa Taifa?
Miaka ya nyuma wawekezaji wakubwa walikuwa wanapewa miaka 5 bila kulipa kodi, japo nao walitumia vibaya, ilikiwa ikikaribia kuisha wanabadili umiliki..
Kumbuka kesi za akina iliyokuwa Sheratoni hotel ilipouzwa/ kubadilishwa umiliki, walifululiza kubadili majina.
 
Ila kuwa miaka 70 sio tija,to be honest mimi huwa kawaida huyu jamaa akiongea huwa nashindwa kuconcentrate anachokiongea...
Nenda Italia ukutane na Silvio Beluskoni miaka 80 kwa sasa, anaongea kwa nguvu hata vipaza sauti hahataji, afu kwa totozi utafiki yupo kwenye 20`s
 
Naangalia TBC1 LIVE mkutano wa taifa wa baraza la kitaifa la biashara ikulu-Dar es Salaam, naona mzee Reginald Mengi amepewa nafasi ya kuongea ila nilichogundua ni kwamba huyu mzee hayuko sawa kimwili na kiakili (kisaikolojia) kama yule Mzee Mengi halisi tuliyepata kumfahamu hapo mwanzo, huyu mzee amekosa kabisa momentum hata ya kuongea akaeleweka kwani anaonekana kana kwamba amedata.

Kwa tuliobahatika kumjua huyu mzee tangu zamani alikuwa ni jembe kwelikweli, alikuwa hodari wa kuongea vizuri tena kwa hoja kuntu lakini hapa namuona anasoma hotuba yake kama mgonjwa au kama mtu aliyeshikiwa bunduki au panga.

Wapendwa ni kipi haswa kimemkumba mzee wetu huyu kipenzi cha wengi?

Kwa mwenye uelewa atupe majibu.
Anaugua unafiki we una dhani kujiunga na team milembe ni mchezo
 
Yaani tumefikia hatua sasa hata kama una kamtaji kako unaogopa kukatumbukiza. Naikumbuka ile speech ya Dangote kuhusu mazingira ya uwekezaji nchini.
Tukiambiwa ukweli tunakasirika [emoji30] [emoji30]
Hotuba ya mkuu ya leo imeonyesha kuwa ameona makosa makubwa ya kauli ya hapa kazi imeathiri biashara, maafisa waliota kiburi wanakwambia isipolipa kodi funga, hapa ni kazi tu, badala ya kujenga uhusiano na walipa kodi.
 
Miaka ya nyuma wawekezaji wakubwa walikuwa wanapewa miaka 5 bila kulipa kodi, japo nao walitumia vibaya, ilikiwa ikikaribia kuisha wanabadili umiliki..
Kumbuka kesi za akina iliyokuwa Sheratoni hotel ilipouzwa/ kubadilishwa umiliki, walifululiza kubadili majina.
Naikumbuka but We must have a way to encourage big investments in the country. Changamoto kama hizo zipo je ndio tuwe wakali kupita kiasi ili kuwafukuza? Je tuna njia mbadala kama nchi kuhusu maendeleo na Sera yetu ya viwanda?
 
Hotuba ya mkuu ya leo imeonyesha kuwa ameona makosa makubwa ya kauli ya hapa kazi imeathiri biashara, maafisa waliota kiburi wanakwambia isipolipa kodi funga, hapa ni kazi tu, badala ya kujenga uhusiano na walipa kodi.
Ni kweli unalosema mkuu
Nimeisoma hotuba moja ya kamishna wa TRA akitoa agizo la kufunguliwa kwa biashara zote zilizofungwa huko kusini mwa Tanzania. Ukusanyaji wa mapato umeathirika sana kwa hii sera
 
Hao wamakonde nimewapenda.
Waliweka msimamo kumkataa ofisa mkuu wa tra kwa kusema anawanyanyasa kwa kauli chafu na kutoza kodi kubwa kushinda mitaji.
Ndipo Kichere alienda kusikiliza hizo kero, na waliongea kwa ujasiri kuwa aondolewe hawamtaki.
Afisa aliondolewa
 
Nisiwe mjuaji sana
Nieleze nilichoelezwa na mfanyakazi wake kuwa "aliingiza mitambo ya kisasa inayohusiana na kazi zake za mawasikiano...mzigo ulikuwa na thamani ya mapesa mingi sana.
Kutokana na kutakiwa kulipa kodi kubwa, aliomba tra alipe kwa awamu na walikubali ombi lake kimaandishi.
Lkn baada ya muda mfupi walimvamia ofisi ghafla na kumtaka alipe zote kwa mkupuo.
Hilo jambo lilimpa mfadhaiko kiasi cha kuteteresha afya yake.
Duh hii Mpya.... Asee kama kweli basi Noma sana
 
Back
Top Bottom