Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Kabanwa vilivyo huyu mzee alimchezea Kikwete sana acha aisome,kuna watu walijiona wakubwa sana humu duniani hichi kipindi tunachopitia kinatoa funzo hata marais watakaokuja wataheshimiwa kwa mwendo huu