Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

Ruvu shooting. Mrembo mwenye anapenda sana kula cone. Ndio hapo anapompatia mzee. Yule mama wa kichagga koni haijui. Yeye ni mende kafa mzee ajisevie mwenyewe
 
Ruvu shooting. Mrembo mwenye anapenda sana kula cone. Ndio hapo anapompatia mzee. Yule mama wa kichagga koni haijui. Yeye ni mende kafa mzee ajisevie mwenyewe
Mh mkuu umenyapia wapi ubuyu wote huu
 
Mh mkuu umenyapia wapi ubuyu wote huu
Hata mimi naliwa sana koni. Warembo wasikuhizi wakitaka wakuchomoe pesa basi badala ya kuingizwa kunako utamu unaingizwa mdomoni. Lakini mdomoni patamuuh. Hata mimi nishahonga kiwanja kwa sababu ya huu ujinga. Wake zetu wa kichagga na mila zao na matambiko yao hata siku moja hutaonja tigo au coni
 
Ruvu shooting. Mrembo mwenye anapenda sana kula cone. Ndio hapo anapompatia mzee. Yule mama wa kichagga koni haijui. Yeye ni mende kafa mzee ajisevie mwenyewe
Kama mambo ya koni tena hizo vibration zitamuumiza mzee, ila soon anawaachia wenye nguvu wale mali. Inauma
 
Huyu mzee alipitia kipindi kigumu sana mwaka jana, msukosuko huo ulimwathiri kiafya sana. Mambo ya kodi yalimgeuka kiasi cha kumteteresha kibiashara


Huenda ikwa kweli kabisa lakini si ndio jana alikuwa akisifiwa kwa mgonngo wa chupa... Mungu utusaidie sisi wanao
 
Kila nikiangalia picha za ' Tajiri ' Mzee Reginald Mengi wakati alipokuwa na Rais Mstaafu wa awamu na nne Mzee Kikwete ' body language ' yake ilikuwa ni ya furaha sana na ulikuwa unaona ' confidence ' kubwa mno Kwake ila kila nikizitizama picha za huyu huyu Mzee ( namaanisha Reginald Mengi ) alizopiga na anazopiga sasa na Rais wa awamu hii ya tano namwona akiwa na Nyuso ya Uwoga, hana ' Confidence ', anatetemeka sana halafu ni kama vile pia huwa anataka ' Kulia ' ila tu anajikaza.

Nini kimemkumba Mzee Reginald Mengi?

Nawasilisha.
 
He has done enough kwa umri wake, ni muda muafaka apumzike kabisa ale matunda yake, kosa alilofanya huyu mzee ni kuoa binti mbichi uzeeni, maana saizi atakuwa anawaza mengi
 
Sasa hivi Ikulu anakwenda tu ili biashara zake ziende. Ingekuwa ni amri yake angekaa mbali sana na jiwe.

Jiwe lilipata moto wa jua na mzee wetu aliumia vibaya pasi kuelewa nguvu ya moto wa jiwe lile. Maumivu yaliyo dhuru afya yake.
 
Kila nikiangalia picha za ' Tajiri ' Mzee Reginald Mengi wakati alipokuwa na Rais Mstaafu wa awamu na nne Mzee Kikwete ' body language ' yake ilikuwa ni ya furaha sana na ulikuwa unaona ' confidence ' kubwa mno Kwake ila kila nikizitizama picha za huyu huyu Mzee ( namaanisha Reginald Mengi ) alizopiga na anazopiga sasa na Rais wa awamu hii ya tano namwona akiwa na Nyuso ya Uwoga, hana ' Confidence ', anatetemeka sana halafu ni kama vile pia huwa anataka ' Kulia ' ila tu anajikaza.

Nini kimemkumba Mzee Reginald Mengi?

Nawasilisha.
Anafahamu anachokifanya
 
Back
Top Bottom