Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

Sure mkuu!! Mimi nilikuwa namsikiliza nikiwa ndani ya gari through TBC Taifa...nilipata na mshangao kwa sauti yake na namna alivyokuwa anaongea. Mimi nilidhani ni mgonjwa, labda nyie mliomuona through TV mnaweza kusema zaidi. Lakini kweli anaonekana leo hakuwa timamu sana.
Aisee mzee amedata..yani hayuko sawa hata kidogo
 
Pole Mtoa mada. Mimi nimeanza kumfahamu mzee Mengi toka 1987 akiwa anaitwa Mzee mengi nafikiri alikuwa kama 40s na sasa ni miaka 30 bado tunamtaka mengi awe vilevile. Alimaliza CPA 1971 UK. sasa ana umri zaidi miaka 70. Ungetaka aweje sasa.

Nasikia alipata stroke, kama asingekuwa na hela basi angeenda na maji, ila why still anafanya kazi? kwa pesa zote zile alizonazo ingetakiwa akaishi machame kimyaa, aachane na mambo ya media, kwa utajiri alionao anaweza ku-afford kukaa zaidi ya miaka 100 mingine bila hata kufanya kazi, na kuishi the same lifestyle he's living now...cjui lakin kila mtu na maisha yake malisoka Louis II
 
Ila kweli mkuu
 
Back
Top Bottom