Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

Umeona ee! Yaani kuna watu wanapenda waone wenzao waliofanikiwa wakianguka kimaisha, kiukweli humu jamiiforum kuna watu wenye roho za kichawi,

Kuongelea maisha binafsi negatively ni upuuzi wa hali ya juu!!
Ila nyie wachochezi!!!! Kuna sehemu gani imeandikwa uzushi au chuki hapo? Au mnakurupuka tu! Someni vizuri thread!!
 
Mleta mada anaforce hoja ya kwamba Mengi amebanwa na watawala na anapinga hoja ya umri . Ndugu Mzee Mengi ameenda age sana nahisi ni ishu ya umri. Usitake kuidown play hii hoja ya umri kwa kufananisha na wazee wengine, mzee Mengi inasemekana anasumbuliwa na maradhi ya muda sasa .
Najaribu kukuelewa mkuu
 
Yameisha mkuu
Ningeomba mkuu, ukitaka kufanikiwa katika mambo yako punguza au acha kujadili watu, jadili matokeo ama mazuri yao unayotakiwa kujifunza ufanikiwe na wewe!!

Kuleta thread humu dhidi ya huyo mzee sio sawa umekosea sana ila hujui tu, na mnajikusanyia mikosi bure na kujizibia ridhiki kwa roho mbaya.
 
Naangalia TBC1 LIVE mkutano wa taifa wa baraza la kitaifa la biashara ikulu-Dar es salaam..naona mzee Reginald Mengi amepewa nafasi ya kuongea ila nilichogundua ni kwamba huyu mzee hayuko sawa kimwili na kiakili (kisaikolojia) kama yule Mzee Mengi halisi tuliyepata kumfaham hapo mwanzo.....huyu mzee amekosa kabisa momentum hata ya kuongea akaeleweka kwani anaonekana kana kwamba amedata
.
.Kwa tuliobahatika kumjua huyu mzee tangu zamani alikuwa ni jembe kwelikweli...alikuwa hodari wa kuongea vizuri tena kwa hoja kuntu..lakini hapa namuona anasoma hotuba yake kama mgonjwa au kama mtu aliyeshikiwa bunduki au panga

Wapendwa ni kipi haswa kimemkumba mzee wetu huyu kipenzi cha wengi???

Kwa mwenye uelewa atupe majibu.
Acha wivu we mtoto wa kiume
 
Ningeomba mkuu, ukitaka kufanikiwa katika mambo yako punguza au acha kujadili watu, jadili matokeo ama mazuri yao unayotakiwa kujifunza ufanikiwe na wewe!!

Kuleta thread humu dhidi ya huyo mzee sio sawa umekosea sana ila hujui tu, na mnajikusanyia mikosi bure na kujizibia ridhiki kwa roho mbaya.
Mkuu si yameisha lakin??
 
Ila nyie wachochezi!!!! Kuna sehemu gani imeandikwa uzushi au chuki hapo? Au mnakurupuka tu! Someni vizuri thread!!
Tumesoma na shule tulienda kusoma, obviously Uzi wako umeegemea kumsema vibaya Mengi kwa kuwa ana ukaribu na serikali.
Watu wanakwambia factor ya umri unaikataa kudhihirisha kuwa tayari kuna jambo unajua juu yake, at the same time unataka watu wakwambie kinachomsibu.

Wewe ni mpenda majungu sana
Snitch!!
 
Hivi hoja ya mgombea binafsi asiye na chama iliishaje?
 
Pole Mtoa mada. Mimi nimeanza kumfahamu mzee Mengi toka 1987 akiwa anaitwa Mzee mengi nafikiri alikuwa kama 40s na sasa ni miaka 30 bado tunamtaka mengi awe vilevile. Alimaliza CPA 1971 UK. sasa ana umri zaidi miaka 70. Ungetaka aweje sasa.
Miaka 70 ni midogo sana! Ali Hassan Mwinyi asemeje tena jamani?
 
Back
Top Bottom