Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

Wabongo wenye pepo la siasa,watahamsha maruhani yao sasa hivi.
ila wanasiasa wanaojua siasa,wataendelea kusoma ramani ya jinsi gani wale vinono vya wabongo wenye mapepo.
Duh hebu dadavua zaidi
 
Sure mkuu!! Mimi nilikuwa namsikiliza nikiwa ndani ya gari through TBC Taifa...nilipata na mshangao kwa sauti yake na namna alivyokuwa anaongea. Mimi nilidhani ni mgonjwa, labda nyie mliomuona through TV mnaweza kusema zaidi. Lakini kweli anaonekana leo hakuwa timamu sana.
Mkuu redio ya gari yako inashika TBC
 
kale katoto kenye mapacha ndo kanamsumbua akili mzee...
mara kanataka kwenda club mara pub yani ni shidaaa aseee
 
Jamiiforum mnaipunguzia hadhi kwa thread za ovyo kama hizi, issue binafsi za mtu mnataka kuweka mijadala humu kuzungumzia mtu.

Cheap minds and cheap thoughts
 
Jf hatujambo linapokuja suala la kuongelea maisha ya mtu tena yale ya kuelekea kubaya baya daaa tunakuwa vizurii sanaa....
Umeona ee! Yaani kuna watu wanapenda waone wenzao waliofanikiwa wakianguka kimaisha, kiukweli humu jamiiforum kuna watu wenye roho za kichawi,

Kuongelea maisha binafsi negatively ni upuuzi wa hali ya juu!!
 
Mleta mada anaforce hoja ya kwamba Mengi amebanwa na watawala na anapinga hoja ya umri . Ndugu Mzee Mengi ameenda age sana nahisi ni ishu ya umri. Usitake kuidown play hii hoja ya umri kwa kufananisha na wazee wengine, mzee Mengi inasemekana anasumbuliwa na maradhi ya muda sasa .
 
Back
Top Bottom