AsanteNenda jukwaa la siasa utapata majibu mkuu
AsanteNenda jukwaa la siasa utapata majibu mkuu
Basi damu changa kama nyie muibuke zamu yenu hii maana alishafanya yake na kila mtu alimwona na kama haendi sawa nadhani ndio muda wa vipaji vipya kuibukaUmri sio hoja mkuu.....
Pole Mtoa mada. Mimi nimeanza kumfahamu mzee Mengi toka 1987 akiwa anaitwa Mzee mengi nafikiri alikuwa kama 40s na sasa ni miaka 30 bado tunamtaka mengi awe vilevile. Alimaliza CPA 1971 UK. sasa ana umri zaidi miaka 70. Ungetaka aweje sasa.
Chezea Jackline Ntunyabaliwe wewe?Naangalia TBC1 LIVE mkutano wa taifa wa baraza la kitaifa la biashara ikulu-Dar es salaam..naona mzee Reginald Mengi amepewa nafasi ya kuongea ila nilichogundua ni kwamba huyu mzee hayuko sawa kimwili na kiakili (kisaikolojia) kama yule Mzee Mengi halisi tuliyepata kumfaham hapo mwanzo.....huyu mzee amekosa kabisa momentum hata ya kuongea akaeleweka kwani anaonekana kana kwamba amedata
.
.Kwa tuliobahatika kumjua huyu mzee tangu zamani alikuwa ni jembe kwelikweli...alikuwa hodari wa kuongea vizuri tena kwa hoja kuntu..lakini hapa namuona anasoma hotuba yake kama mgonjwa au kama mtu aliyeshikiwa bunduki au panga
Wapendwa ni kipi haswa kimemkumba mzee wetu huyu kipenzi cha wengi???
Kwa mwenye uelewa atupe majibu.
Pesa ukiipata hata ukiwa in 20s utaitwa MZEE tu.Pole Mtoa mada. Mimi nimeanza kumfahamu mzee Mengi toka 1987 akiwa anaitwa Mzee mengi nafikiri alikuwa kama 40s na sasa ni miaka 30 bado tunamtaka mengi awe vilevile. Alimaliza CPA 1971 UK. sasa ana umri zaidi miaka 70. Ungetaka aweje sasa.
Angalau wewe umenipa mwanga mkuu
kama mtu aliyeshikiwa bunduki au panga
Naamini kupitia thread yako, hichi ndicho ulikuwa unataka kukisikia kutoka kwa watu.Alianza kwa kasi kulikosoa jiwe lilipoingia madarakani. alichopata kilimsababishia minor stroke. Leo amekuwa wa ndiyo mzee mradi biashara zake zinakwenda
Mkuu redio ya gari yako inashika TBC
Hii awamu nia ya Magu,lazima aongee kwa step ili aache kampuni ya IPP media ikiwa salama,isije ikapigwa pini akiwa anaiona liveNaangalia TBC1 LIVE mkutano wa taifa wa baraza la kitaifa la biashara ikulu-Dar es salaam..naona mzee Reginald Mengi amepewa nafasi ya kuongea ila nilichogundua ni kwamba huyu mzee hayuko sawa kimwili na kiakili (kisaikolojia) kama yule Mzee Mengi halisi tuliyepata kumfaham hapo mwanzo.....huyu mzee amekosa kabisa momentum hata ya kuongea akaeleweka kwani anaonekana kana kwamba amedata
.
.Kwa tuliobahatika kumjua huyu mzee tangu zamani alikuwa ni jembe kwelikweli...alikuwa hodari wa kuongea vizuri tena kwa hoja kuntu..lakini hapa namuona anasoma hotuba yake kama mgonjwa au kama mtu aliyeshikiwa bunduki au panga
Wapendwa ni kipi haswa kimemkumba mzee wetu huyu kipenzi cha wengi???
Kwa mwenye uelewa atupe majibu.
Labda ameshinikizwa na SHIJONGE,
Labda wasiojulikana
Nashangaa wanaoleta kigezo cha umri....wakati kuna kina mzee Kingunge wamakufa na nguvu zao