Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

Pole Mtoa mada. Mimi nimeanza kumfahamu mzee Mengi toka 1987 akiwa anaitwa Mzee mengi nafikiri alikuwa kama 40s na sasa ni miaka 30 bado tunamtaka mengi awe vilevile. Alimaliza CPA 1971 UK. sasa ana umri zaidi miaka 70. Ungetaka aweje sasa.
Nadhani anadhani kalingana naye
 
Naangalia TBC1 LIVE mkutano wa taifa wa baraza la kitaifa la biashara ikulu-Dar es salaam..naona mzee Reginald Mengi amepewa nafasi ya kuongea ila nilichogundua ni kwamba huyu mzee hayuko sawa kimwili na kiakili (kisaikolojia) kama yule Mzee Mengi halisi tuliyepata kumfaham hapo mwanzo.....huyu mzee amekosa kabisa momentum hata ya kuongea akaeleweka kwani anaonekana kana kwamba amedata
.
.Kwa tuliobahatika kumjua huyu mzee tangu zamani alikuwa ni jembe kwelikweli...alikuwa hodari wa kuongea vizuri tena kwa hoja kuntu..lakini hapa namuona anasoma hotuba yake kama mgonjwa au kama mtu aliyeshikiwa bunduki au panga

Wapendwa ni kipi haswa kimemkumba mzee wetu huyu kipenzi cha wengi???

Kwa mwenye uelewa atupe majibu.
Siku hazigandi, hata wewe siku moja utaongelewa Kama unavyomtolea maelezo
 
Naangalia TBC1 LIVE mkutano wa taifa wa baraza la kitaifa la biashara ikulu-Dar es salaam..naona mzee Reginald Mengi amepewa nafasi ya kuongea ila nilichogundua ni kwamba huyu mzee hayuko sawa kimwili na kiakili (kisaikolojia) kama yule Mzee Mengi halisi tuliyepata kumfaham hapo mwanzo.....huyu mzee amekosa kabisa momentum hata ya kuongea akaeleweka kwani anaonekana kana kwamba amedata
.
.Kwa tuliobahatika kumjua huyu mzee tangu zamani alikuwa ni jembe kwelikweli...alikuwa hodari wa kuongea vizuri tena kwa hoja kuntu..lakini hapa namuona anasoma hotuba yake kama mgonjwa au kama mtu aliyeshikiwa bunduki au panga

Wapendwa ni kipi haswa kimemkumba mzee wetu huyu kipenzi cha wengi???

Kwa mwenye uelewa atupe majibu.
Rais Magufuli amesema anataka wenye viwanda siyo madalali.......labda tuanzie hapo!
 
Mimi pia nimemwangalia hapa sijamwelewa. Ila nadhani pia ameanza kuzeeka kwa hiyo hata namna anavyoongea na kusoma inakuwa changamoto kidogo, nadhani ni muda sasa akapata msaada.

Ila namsifu mzee kama mengi hata havai miwani
 
Anaongea kama ana fumba la maji mdomoni
 
Wabongo wenye pepo la siasa,watahamsha maruhani yao sasa hivi.
ila wanasiasa wanaojua siasa,wataendelea kusoma ramani ya jinsi gani wale vinono vya wabongo wenye mapepo.
 
Back
Top Bottom