Maan
Member
- Sep 11, 2023
- 50
- 76
Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili.
Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani kututoka.
Hii itasaidi kuondokana na masononeka kwa watanzani kuongozwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa kwa kura