Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,413
- 11,902
Umenielewa kivipi hebu fafanua vizuri😅Sawa mkuu, nimeelewa sasa
Umenielewa kivipi hebu fafanua vizuri😅Sawa mkuu, nimeelewa sasa
Kuna kitu kinaitwa half sleep paralysis ikitokea wakati umelala , walokole wanadai wamekabwa na wachawi ,utasikia nilikua nakemea shindwa kwa jina la yesu lakin sauti ilikua haitoki , kwa damu ya yesu mara nikaachiliwa😅Yes,kwa Imani Kila kitu kinawezekana,Sasa waganga na manabii ndo wanapojichukulia point 3 kwa wajinga kiulainii!
🤣🤣🤣🤣Min,mdomo, mdomo...mdomo🤦Kuna kitu kinaitwa half sleep paralysis ikitokea wakati umelala , walokole wanadai wamekabwa na wachawi ,utasikia nilikua nakemea shindwa kwa jina la yesu lakin sauti ilikua haitoki , kwa damu ya yesu mara nikaachiliwa😅
😅😅😅 najaribu kama naweza kukurogaKwamba uchawi haupo,afu mbona kama umeanza usumbufu!!?
Si ni kweli lakin😅 ,moshi kuna wanyama wanaitwa komba ambao wanakula ndizi na kahawa, usiku wanatabia ya kutembea juu ya bati , hapo walokole ni kukemea shindwa kwa jina la yesu , wanasindikizia na kale ka wimbo ka damu ya yesu inatenda mema , inatenda mema😅🤣🤣🤣🤣Min,mdomo, mdomo...mdomo🤦
Uchawi haupo na hauwezi kuwepo ila kwa wewe kukuroga dk2 tu hebu sema kwanza🤣🤣🤣 Umesema hakuna uchawi,utanirogaje sasa?
Jumapili Anaenda kutoa ushuhuda kanisani kwa kujiamini kabisa jinsi alivyowashinda wachawi usingizini🤣🤣🤣🤣🤣Kuna kitu kinaitwa half sleep paralysis ikitokea wakati umelala , walokole wanadai wamekabwa na wachawi ,utasikia nilikua nakemea shindwa kwa jina la yesu lakin sauti ilikua haitoki , kwa damu ya yesu mara nikaachiliwa😅
Watu wa mbeya nikiwakuta jehanam nitawachapa viboko 😆🤣🤣🤣🤣We jamaa ni katikista kabisa...weee, mbona umeimba vizuri hivyo🤭
Nakazia hapa... Hii ndiyo sababu huoni wakija kutoa ushuhuda hapaUCHAWI ni SIRI
Ukisema tu SIRI unakufa
Ewaaah sasa hapo kwenye kulelewa ndio penyewe, mimi ni kakijana ka afu mbili yani na mambo ya kulelewa ndo kabisaa yani mtoto mtupuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Em niache bhana,umri wa kupenda nishavuka ..nipo umri wa kulea watoto
😁😁hapo mchawi elimu😅Jumapili Anaenda kutoa ushuhuda kanisani kwa kujiamini kabisa jinsi alivyowashinda wachawi usingizini🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli aisee, binafsi nikishamuona mtu ana chuki iliyopitiliza namuona kabisa huyu ni mchawi na ninapaswa kumuepuka(sio kumchukia).Hakika,mtu anakuwa na roho mbaya mpaka unajiuliza,hivi huyu kakosa uchawi kweli?