Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Hapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.
Kazi ipo walah!!
 
Mkuuu...hata mtu akipanga kunidhuru Mimi nikajua itaniuma sanaaaaaaaa...

But Sasa kwenda mbio kwa waganga Mungu asinipe mtihani wakunifisha Huku...

Haya Sio maisha kabisa....maisha yakiwaki Sana hayo
Hata ww mbona ulisema unataka kumroga X wako au unadhan tumesahau
 
Hata ww mbona ulisema unataka kumroga X wako au unadhan tumesahau
Mkuu...Nina maisha magumu..Sina hela yakutosha...kila sehemu Hoves...

Alafu nitoe hela nikampe mtu Amroge mtu....nikheri nimpe hela atengeze Mambo ....niondokane na huuu umasikini....

But siwezi toa hela kwa mganga...Imani yangu juu ya hayo Mambo...HAIPO
 
Halafu usisikilize upande mmoja tu. Ukute huyu dada ndio msumbufu mpk watu wamezila kusomesha mtoto kutokana na kero za mama yake.
Hayo mambo yanataka usikilize pande mbili
Tangu nilipoanza kusoma mwanzo wa story na majigambo ya mtoa mada nimejifunza kuwa jamaa alianza kupotezea baada ya masimango kuzidi. Haya anayosema nilimtoa chini na kuanza kumvalisha boxer ndiyo yaliyomkimbiza jamaa. Ogopa mwanamke akiwa na kazi na pesa. Wanakuwa na midomo michafu mpaka utajutia mahusiano. Mara utasikia "ulijua viatu wewe? Kuvaa kwenyewe nimekufundisha mimi".

Rudi kwenye story mama juu. Anasema jamaa alisita kuwa na mahusiano naye akijijua hana uwezo, ((pia naamini bibie bado hakuwa chaguo la msela)) kakini miss hapo alimwambia "usijali nitakuwezesha"
Hakuna ubaya kunyanyuana, ila siku mkipishana maneno tu, basi jua wimbo utakuwa "ulikuwa nani wewe". Sasa Kwa mwenye akili plus kutokuwa chaguo halisi la moyoni ni rahisi sana kuachia ngazi.

Ngoja tusikie na upande ule.
 
Huyu mwanamke kwanza

Ni mjinga
Pili,alijitongozesha mwenyewe
Tatu,anaongea sana na much know ndo maana aliachwa.

Huwezi kujisifia uganga wa mtu wkt uchawi ni kama taaluma tu wewe ukivijua vya mashariki wenzako wanavijua vya magharibi...

Unadhani Dr aliemsomea marekani atakuwa sawa na urusi au india?Huyu unayemuamini ana nguvu anapitwa pia...

Mtu wakujiamini nae ni Mungu tu wengine wote unaenda kuanzisha vita ambayo unaweza usishinde vile vile kwahiyo nenda ila usijiamini upuuzi...

Jinga kbs na usimuambukize huyo mtoto wa jamaa ujinga wako na machuki yako,it was ur mistake kujipelekea kwa mwanaume hovyo na kushika mimba kwa mtu asiye mumeo.....

Na huyo baba mtoto wako nae jinga ila umemzidi ujinga.
 
Back
Top Bottom