Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Tangu nilipoanza kusoma mwanzo wa story na majigambo ya mtoa mada nimejifunza kuwa jamaa alianza kupotezea baada ya masimango kuzidi. Haya anayosema nilimtoa chini na kuanza kumvalisha boxer ndiyo yaliyomkimbiza jamaa. Ogopa mwanamke akiwa na kazi na pesa. Wanakuwa na midomo michafu mpaka utajutia mahusiano. Mara utasikia "ulijua viatu wewe? Kuvaa kwenyewe nimekufundisha mimi".

Rudi kwenye story mama juu. Anasema jamaa alisita kuwa na mahusiano naye akijijua hana uwezo, ((pia naamini bibie bado hakuwa chaguo la msela)) kakini miss hapo alimwambia "usijali nitakuwezesha"
Hakuna ubaya kunyanyuana, ila siku mkipishana maneno tu, basi jua wimbo utakuwa "ulikuwa nani wewe". Sasa Kwa mwenye akili plus kutokuwa chaguo halisi la moyoni ni rahisi sana kuachia ngazi.

Ngoja tusikie na upande ule.
We ropoka tu utakutana naye sinza akigongea konyagi🤣🤣🤣
 
Huyu mwanamke kwanza

Ni mjinga
Pili,alijitongozesha mwenyewe
Tatu,anaongea sana na much know ndo maana aliachwa.

Huwezi kujisifia uganga wa mtu wkt uchawi ni kama taaluma tu wewe ukivijua vya mashariki wenzako wanavijua vya magharibi...

Unadhani Dr aliemsomea marekani atakuwa sawa na urusi au india?Huyu unayemuamini ana nguvu anapitwa pia...

Mtu wakujiamini nae ni Mungu tu wengine wote unaenda kuanzisha vita ambayo unaweza usishinde vile vile kwahiyo nenda ila usijiamini upuuzi...

Jinga kbs na usimuambukize huyo mtoto wa jamaa ujinga wako na machuki yako,it was ur mistake kujipelekea kwa mwanaume hovyo na kushika mimba kwa mtu asiye mumeo.....

Na huyo baba mtoto wako nae jinga ila umemzidi ujinga.
Hahahah siongei na aliyefeli la saba🤣🤣🤣
 
Kama unajua ni jukumu lake ukienda huko akafilisika wewe utafaidika nini??
Nenda ustawi wa jamii usaidiwe jamaa ahudumie mtoto hizo mambo za kishirikina zitakufilisi na kumharihia mtoto future yake tu.
Kwasababu kwenye maelezo yako unaonesha kumdai wewe tu hujawai kwenda vyombo vya sheria jaribu kuanza huko kwanza.
Nadhani ipo sababu ndiyo maana anaogopa kwenda kumshitaki ustawi wa jamii.
Kwa msomi kama huyu kushupalia ushirikina jua lipo jambo la kisheria litamshinda alilomtendea mzazi meenziye.
 
Ndo maana na mm hapo juu nimemuuliza yeye kauli zake zikoje? Ujue hata kama umenitoa vichakani nikiwa sina mia haimanishi unitawale na kuninyanyasa kisa umenisaidia ,hata mungu hawez kubar dua zake kama kweli hampi jamaa amani kisa kumtoa kimaisha .

Pia huyu Dada pamoja na yote ni femist fulan hivi kitu ambacho wanaume hatupendi kabsa wanawake wa hivi na ikichangia huyu ni msomi na tunavyojua wadada wasomi wanavyo behave sababu wanajiweza .

Na uhakika aki muita huyo jamaaa kwa adabu na kumweleza afanye jambo kwa mwanae lililo ndani ya uwezo wake hawezi kataa,lakin,lakin approach yake inaweza kuwa inafanya jamaa akose haki ya kumsaidia mwanae sababu mama analeta nyodo nyingi na mtoto ili asaidike lazima msaada upitie kwa mama sababu mtoto bado mdogo

Inaweza kuwa jamaa anataka mtoto asome shule ada million moja ,mama MTU anakomaa asome ya million 4 ili mradi jamaa ateseke na vile anakuwa na familia mbili ni kama anamkomoa vile

Dada Fanya hivi

Leo mpigie simu ongea nae kwa busara ,msikilize maoni yake kuhusu mtoto ,mshauri kiustaarabu na ki adabu na pia shukuru kwa msaada wowote atakaotoa kwa upendo wa hali ya juu na unyenyekevu wa hali ya juu.kama jamaa hatabadililika basi huyo mtoto sio wake ulimbambikia .
Nauona ukweli katika vifungu hivi.
 
Hahahah siongei na aliyefeli la saba

Hahahaa aliyefeli la saba

Umemtongoza kakuzalisha kakuacha sababu alikuwa hakupendi.

Mwerevu yeyote yule anajua hamna mwanaume ataoa zezeta kama wewe neverrrr hayupo yaani mtu akisoma tu comment zako anajua jinsi gani jamaa ameponea kwenye tundu la sindano..

Wewe ni wakuzalishwa tu niamini mimi hutakaa kuja kuwa na msaada kwa mwanaume zaidi ya kumuongezea matatizo,yeyote yule akijichanganya kwako atapata stress tu ..
 
We ropoka tu utakutana naye sinza akigongea konyagi🤣🤣🤣
Na nakuambia, haitakupa faraja hali hiyo, badala yake itakuongezea majuto. Am telling you. Frankly speaking, kama utatimiza azima yako hiyo iko siku utayakumbuka maneno haya. Kwani Malipizo ni ya Mungu. Ndiyo maana akaagiza kusamehe kwani YEYE ndiye mwenye kuhukumu.
 
Hata kama mwanamke ana makosa yake ndo uzire kusomesha mwanao wala kutunza? Huo sio uanaume kamili
Bado hujajua kwa upande ule. Kwa akili yako, ni nani mwehu azire kumhudumia mwanaye pasi na sababu? Ulimi kiungo kidogo sana lakini kinasababisha majubwa usuyoyategemea.
 
Bado hujajua kwa upande ule. Kwa akili yako, ni nani mwehu azire kumhudumia mwanaye pasi na sababu? Ulimi kiungo kidogo sana lakini kinasababisha majubwa usuyoyategemea.
Unaishi wapi wewe? Ukute naongea na mtu yuko mamtoni huko...ina maana hujui wanaume wengi sana wanatelekeza watoto zao wa kuwazaA bila sababu kbs? Point ni moja hata kama mwanamke ana kidomo domo hutakiwi kuzira mwanao...mzire mwanamke sio mwanao..damu yako hiyo..ndo hayo yanakuja ya kina diamond
 
Bado hujajua kwa upande ule. Kwa akili yako, ni nani mwehu azire kumhudumia mwanaye pasi na sababu? Ulimi kiungo kidogo sana lakini kinasababisha majubwa usuyoyategemea.

Ni nani huyo azile damu yake... come down mama yake uyu our fellow man lazma atakua anamjua mjukuu so angeiachaje damu ya mwanae ivyo. Embu muulize uyu witch wa katavi yeye anajigamba ni wa huko uyu man yy ni wa wapi adi awe careless ivyo with his kid/blood? Conclusion ni this witch is the problem finish and klaar
 
Unaishi wapi wewe? Ukute naongea na mtu yuko mamtoni huko...ina maana hujui wanaume wengi sana wanatelekeza watoto zao wa kuwazaA bila sababu kbs? Point ni moja hata kama mwanamke ana kidomo domo hutakiwi kuzira mwanao...mzire mwanamke sio mwanao..damu yako hiyo..ndo hayo yanakuja ya kina diamond
I beg to differ . Jamaa hajazila ila ameletewa visa lukuki adi hana means but to lie low. Trust me this woman is treacherous and a big problem kwakweli. The man has no choice. Apo tumemuuliza mtoto alikua anaishi na nani hasemi... basi tuassume alikua anaishi na baba... wake hawapendagi side kids of their men uyu mzazi so yupo sensitive to that anajistukia but its not that bad. Ata kama mtoto kawa mistreated/abused... not to zat extent anavyotuaminisha uyu.
 
Nadhani ipo sababu ndiyo maana anaogopa kwenda kumshitaki ustawi wa jamii.
Kwa msomi kama huyu kushupalia ushirikina jua lipo jambo la kisheria litamshinda alilomtendea mzazi meenziye.
Hilo nalo kweli mkuu maana hagusii kabisa masuala ya kisheria licha ya wadau kadhaa kumshauri ivo ameshipalia uchawi tu
 
I beg to differ . Jamaa hajazila ila ameletewa visa lukuki adi hana means but to lie low. Trust me this woman is treacherous and a big problem kwakweli. The man has no choice. Apo tumemuuliza mtoto alikua anaishi na nani hasemi... basi tuassume alikua anaishi na baba... wake hawapendagi side kids of their men uyu mzazi so yupo sensitive to that anajistukia but its not that bad. Ata kama mtoto kawa mistreated/abused... not to zat extent anavyotuaminisha uyu.
Tatizo hatujajua mwanaye kawa tortured kwa njia zipi...aseme tubalance mambo..huku tunasubiri ulozi ufanye kazi yake😅
 
Back
Top Bottom