Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Afu akianza kuchepuka unaanza kulia,mkikosana Kama wapenzi ni suala la kuzungumza na sio kununa na kususa.msingi wa mahusiano ni mazungumzo.
Sasa kama yeye anapenda kununa nifanyeje? Nijinyonge??? Hell no...ukinuna nakuacha hivyo hivyo utajua mwenyewe ukiamua kukaa bubu mwezi mzima bas sawa..
Kuchepuka kupo tu binti...hata muwe mnacheka kila siku atachepuka tu..huwajui wanaume wewe that's y unahangaika kuroga. U are wasting your precious time...hata hivyo nakusapoti endelea kumkomesha huyo bwege as long as moyo wako unataka hivyo
 
Hahahah mie sirogi mapenzi,namshughulikia aliyekuwa anahangaika kuniharibia mwanangu future yake.
 
Afu akianza kuchepuka unaanza kulia,mkikosana Kama wapenzi ni suala la kuzungumza na sio kununa na kususa.msingi wa mahusiano ni mazungumzo.
Nilishapita stage ya kujipendekeza kwa mume pasua kichwa. Amani ya ndoa ipo mikononi mwake...akitaka amani itakuwepo..akitaka shari itakuwepo pia.

Natimiza majukumu yangu kadri ya uwezo wangu..akiona simfai aniambie naondoka dakika hiyo hiyo.
Yeye ndo anitake na sio mimi nimtake yeye. Nipo hapa kwaajili yake so ni jukumu lake kunifanya nizidi kuwepo kwa kudumisha amani ya moyo wangu.
 
Thats it, umemaliza...!
 
Sasa kama yeye anapenda kununa nifanyeje? Nijinyonge??? Hell no...ukinuna nakuacha hivyo hivyo utajua mwenyewe ukiamua kukaa bubu mwezi mzima bas sawa..
Kuchepuka kupo tu binti...hata muwe mnacheka kila siku atachepuka tu..huwajui wanaume wewe that's y unahangaika kuroga. U are wasting your precious time...hata hivyo nakusapoti endelea kumkomesha huyo bwege as long as moyo wako unataka hivyo
Hakuna watu sumu kama wanaume ..unaweza timiza kila kitu anachowish kwako ..na bado akazibua nje...chaa
 
Wewe ndio umenielewa,na kwa sababu hiyo na heshima ya mwanangu,lazima jamaa tumrudishe chini,piga ua garagaza anarudi moja,wazee wangu wamechungulia wameona na wameamua hivo
Uko tayari kuishi na matokeo ya uamuzi huo? Siku mwanao akimtaka babake utamjibu nini? Na ikiwa upande wa pili nao waki-revenge na ikajibu huoni utakuwa chanzo cha uyatima na kuathiri hatima yake?

Vv
 
inshort nachomwambia Huyu Dada nikwamba...Huo uchawi WAKE HAUNA MAANA WALA MSAAADA.... ..

Huo ni mtazamo wako
Unamshauri vizuri hata mimi naungana na wewe
Ila sasa kuupokea ushauri wako au kuuacha ni maamuzi yake hatuwezi kumlazimisha
Maisha ni yake ,akiharibu ni yeye mimi na wewe hatudhuriki so tumuache mtu atumie nafasi ya maisha yake kama anavyo taka
Script ya maisha yake ni yake wacha sisi tutengeneze script tofauti kupitia makosa yake
Umeshamwambia inatosha tuendelee kusubiri muendelezo wa hizo radi
 
Hakuna watu sumu kama wanaume ..unaweza timiza kila kitu anachowish kwako ..na bado akazibua nje...chaa
Ni kweli, na hili gurudumu anapaswa kuliendesha yeye kwa amani, akileta kero zisizo na msingi basi unaharibu tu maana ndivyo anavyotaka.
 
Mwache huyo aliolewa kwa kumloga mwanaume,anadhani kila mwanamke anafosi ndoa Kama yeye.mapenzi ni ufundi
Mapenzi UFundi unafichwa Kama kiroba za bangi?... Mimi Sina Mume ...na Kama kukosewa nshakosewa Sana.... Lakini level zako za kuuza kiwanja kwenda Kuroga sijafikia....... Tujifunze kusamehe watu... Wewe maisha yako HUJAWAI kosea Watu?......

Ukiamua kuingia kwenye Jambo ingia mazima..UKIAMUA KUINGIA KWENYE ULOZI INGIA MAZIMA.... Kila Jambo lako unalifanyia Ulozi.... Nashangaaa umeshindwa kufanyia Ulozi Jambo lako la kuwa mchepuko.....
 
Huo ni mtazamo wako
Unamshauri vizuri hata mimi naungana na wewe
Ila sasa kuupokea ushauri wako au kuuacha ni maamuzi yake hatuwezi kumlazimisha
Maisha ni yake ,akiharibu ni yeye mimi na wewe hatudhuriki so tumuache mtu atumie nafasi ya maisha yake kama anavyo taka
Script ya maisha yake ni yake wacha sisi tutengeneze script tofauti kupitia makosa yake
Umeshamwambia inatosha tuendelee kusubiri muendelezo wa hizo radi
Mimi..simlazimishi aache Ulozi...nachomuonesha Ni kuutumia kwa manufaaaa Sio kwa kufilisika.....

Nyie unaweza mloga mtu ... akifilisika alafa akawa mzigo wako....
Just imagine huyo mwanaume afilisike alafu arudi aanze kukopa kwa huyu dada....

They have history... Huyu akibembelezwa na huyo baba watoto ANAkuwa mpole...anauza na kiwanja anampa mtaji tena
 
Back
Top Bottom