Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Mimi..simlazimishi aache Ulozi...nachomuonesha Ni kuutumia kwa manufaaaa Sio kwa kufilisika.....

Nyie unaweza mloga mtu ... akifilisika alafa akawa mzigo wako....
Just imagine huyo mwanaume afilisike alafu arudi aanze kukopa kwa huyu dada....

They have history... Huyu akibembelezwa na huyo baba watoto ANAkuwa mpole...anauza na kiwanja anampa mtaji tena
Hahahahah unaota wewe nirudie uchafu huo?hapana ,nitatengwa na ukoo kurudi jalalani
 
Uko tayari kuishi na matokeo ya uamuzi huo? Siku mwanao akimtaka babake utamjibu nini? Na ikiwa upande wa pili nao waki-revenge na ikajibu huoni utakuwa chanzo cha uyatima na kuathiri hatima yake?

Vv
Wameanza namaliza,ahhh mnanikata stimu naangalia mechi ya Simba hapa,Simba hajawahi tishwa na swala kamwe🤣🤣🤣
 
Huo ni mtazamo wako
Unamshauri vizuri hata mimi naungana na wewe
Ila sasa kuupokea ushauri wako au kuuacha ni maamuzi yake hatuwezi kumlazimisha
Maisha ni yake ,akiharibu ni yeye mimi na wewe hatudhuriki so tumuache mtu atumie nafasi ya maisha yake kama anavyo taka
Script ya maisha yake ni yake wacha sisi tutengeneze script tofauti kupitia makosa yake
Umeshamwambia inatosha tuendelee kusubiri muendelezo wa hizo radi
Hatumpigi radi tunamshusha kimya kimya,wakistuka yuko zero 🙌
 
Apo safi. Kwaio usharudi toka Sumbawanga ndani ndani huko eeh?

Mi prawns sizipendagi wallahiiii kitu kina external skeleton unakivunja using teeth i felt nasty to chew it yaani...

Ask a waiter there kama kuna Bourbon ... kama ipo tufanyie table reservation nataka nimlete Quetzal nmempenda mno
We njoo na huyo babe wako, mbona hamjiamini?waaah hahahah
 
Mimi..simlazimishi aache Ulozi...nachomuonesha Ni kuutumia kwa manufaaaa Sio kwa kufilisika.....

Nyie unaweza mloga mtu ... akifilisika alafa akawa mzigo wako....
Just imagine huyo mwanaume afilisike alafu arudi aanze kukopa kwa huyu dada....

They have history... Huyu akibembelezwa na huyo baba watoto ANAkuwa mpole...anauza na kiwanja anampa mtaji tena
Thubutuuu sirudiagi matapishi mie,Hana maajabu ya mimi kurudi,Mimi Kama Wana wa Israel walitumia miaka 40 kuvuka jangwa na wakasema ,mwambie farao sirudi Tena misri,naenda kanaani
 
Back
Top Bottom