Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Unaishi wapi wewe? Ukute naongea na mtu yuko mamtoni huko...ina maana hujui wanaume wengi sana wanatelekeza watoto zao wa kuwazaA bila sababu kbs? Point ni moja hata kama mwanamke ana kidomo domo hutakiwi kuzira mwanao...mzire mwanamke sio mwanao..damu yako hiyo..ndo hayo yanakuja ya kina diamond
Tatizo lako wewe nawe ni wale wale. Ona ulivyo na fikra pofu. Unadhani matukio kama hayo kuho mamtoni hayapo?!!

Ukifuatilia maneno ya mtoa mada anatuhumu mtoto wake kutendewa vibaya na kwamba wanataka kumdhuru, mara ooh baba hataki kumsomesha. Kwa tuhuma kama hizi zinakupa sura ipi? na wadhani maneno gani yanatamkwa/kuongelewa? Majibu ya naswali haya yatakupa mwanga.
 
Umesema hakuna mwanaume anayeweza kutomjali mwanayr..nikakujibu wako kibao wamejaa tele..kuna wanaume vichwa maji..anaamua tu kujitoa ufahamu...
 
Mkuu...Nina maisha magumu..Sina hela yakutosha...kila sehemu Hoves...

Alafu nitoe hela nikampe mtu Amroge mtu....nikheri nimpe hela atengeze Mambo ....niondokane na huuu umasikini....

But siwezi toa hela kwa mganga...Imani yangu juu ya hayo Mambo...HAIPO
Bora wewe una akili mingi mingi....wenzio wanauza viwanja eti wanaenda kurogea jmn, halafu hapo mtu amesoma na ana watoto wanamtegemea.
 
Asante mkuu
I, wishes to get one like you. And that one im going to keep. Kumbe una akili all that time ila ulikua unashabikia ulozi wa huyu witch mpaka anakua encouraged to go on getting a big head hahah... basi let me assume ayo ndo mapungufu uliyosema jamaa anakubebea ety... ata ivyo throughoutly look like you are flexible na unarekebishika(men likes!) unlike this one rigid woman you entertain... she sure is heading to a breakdown na tumemwambia sisi wanaume wote apa haoleki/atumuwezi straight from us men... its written kichwa cha mwanamke ni man. Kichwa cha man ni kristo. Asa anafail sana to think and behave as she is. Ask her to swallow her pride. Pride and vendetta is eating this woman from Katavi... It has been established for sure
 
Hahahaa aliyefeli la saba

Umemtongoza kakuzalisha kakuacha sababu alikuwa hakupendi.

Mwerevu yeyote yule anajua hamna mwanaume ataoa zezeta kama wewe neverrrr hayupo yaani mtu akisoma tu comment zako anajua jinsi gani jamaa ameponea kwenye tundu la sindano..

Wewe ni wakuzalishwa tu niamini mimi hutakaa kuja kuwa na msaada kwa mwanaume zaidi ya kumuongezea matatizo,yeyote yule akijichanganya kwako atapata stress tu ..
Fanya yako kistaarabu tu,mlio uko njian hahah
 
Uchawi unahtaji pesa na connections za waganga Wazuri.
Nimeenda sana kwa waganga miaka mi5 nyuma.
Nenda kimbinu Kama jamaa na yeye Ana hela mnaweza poteana hata kupoteza hadi waganga wenu .
Jipange sana.
 
I, wishes to get one like you. And that one im going to keep. Kumbe una akili all that time ila ulikua unashabikia ulozi wa huyu witch mpaka anakua encouraged to go on getting a big head hahah... basi let me assume ayo ndo mapungufu uliyosema jamaa anakubebea ety... ata ivyo throughoutly look like you are flexible na unarekebishika(men likes!) unlike this one rigid woman you entertain... she sure is heading to a breakdown na tumemwambia sisi wanaume wote apa haoleki/atumuwezi straight from us men... its written kichwa cha mwanamke ni man. Kichwa cha man ni kristo. Asa anafail sana to think and behave as she is. Ask her to swallow her pride. Pride and vendetta is eating this woman from Katavi... It has been established for sure
Mimi ni mkorofi pale tu unaponifanyia ukorofi, ila mtu akinitreat right kikweli ni mtulivu na mvumilivu wa hali ya juu.
Namsapoti huyu dada kwasababu Kuna some men wanafanya makosa ya makusudi kabisa kutesa wadada kwa kupitia watoto wao.
Mwanaume anatakiwa kulea mtoto haijalishi mke yukoje, sio lazima kumpa pesa mkononi mwanamke mkorofi, unaweza lipa Ada straight shuleni, Kama ni nguo nunua peleka. Yaani chochote kile lkn hakikisha unajali mtoto.
Si entertain mwanaume wa hivyo kweli nakwambia, that's y nasapoti arogwe ili awe hana kitu kabisa ijulikane.

Ila pia huyu mwenzetu anatuchora tu hapo na story yake isiyoeleweka.
 
Mimi ni mkorofi pale tu unaponifanyia ukorofi, ila mtu akinitreat right kikweli ni mtulivu na mvumilivu wa hali ya juu.
Namsapoti huyu dada kwasababu Kuna some men wanafanya makosa ya makusudi kabisa kutesa wadada kwa kupitia watoto wao.
Mwanaume anatakiwa kulea mtoto haijalishi mke yukoje, so lazima kumpa pesa mkononi mwanamke mkorofi, unaweza lipa Ada straight shuleni, Kama ni nguo nunua peleka. Yaani chochote kile lkn hakikisha unajali mtoto.
Si entertain mwanaume wa hivyo kweli nakwambia, that's y nasapoti aogwe ili awe hana kitu kabisa ijulikane.

Ila pia huyu mwenzetu anatuchora tu hapo na story yake isiyoeleweka.
Hahahaha ..umeongea point mama!
 
Uchawi unahtaji pesa na connections za waganga Wazuri.
Nimeenda sana kwa waganga miaka mi5 nyuma.
Nenda kimbinu Kama jamaa na yeye Ana hela mnaweza poteana hata kupoteza hadi waganga wenu .
Jipange sana.
Hizi ndo Vita nisizo ziweza... KHERI Ni niombe Dua TU....
 
Back
Top Bottom