Kipepeo wa chuma1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 387
- 558
- Thread starter
- #421
Ok hongera mzee mwonaji aka mtabiri.Huyu binti anakinyongo na hasira sana ndani ya moyo wake. Alaf hii hasira na chuki wala haitokani na mtoto
Ok hongera mzee mwonaji aka mtabiri.Huyu binti anakinyongo na hasira sana ndani ya moyo wake. Alaf hii hasira na chuki wala haitokani na mtoto
Kutwa kujishtukia...Wee...wanakuaga muda wote wakali...yaan ukitabasamu na simu yako kosa..unamcheka![]()
Hao wazee tuwape muda gani?Subiri wazee wakamilishe kazi,mengine tutazungumza baadae.
Kakuona... kakupenda...mkapendana...anauwezo wakuoa wake wawili...au zaidi...ila kwa mapenzi alionayo kwako....AKAONA AKUPE CHEO CHA MCHEPUKO.....Hapana siwezi mloga mpenzi wangu,kaniona ,kanipenda kanipenda yumeridhiana tukawa pamoja.Ukimloga mtu akupende sio mapenzi.Huyu tunaye mshughulikia kanionea Sana Mimi na mwanangu na kunichokoza kwa muda mrefu,so anastahili hili.
Hiyo siwezi sema manake huenda huyu bwege na limke lake wamo kwenye huu Uzi yanafatilia.Hao wazee tuwape muda gani?
Hahahhaaha...mie naupendaga ule wa gigy money..nampa papa😅😅..bas weee🤣🤣🤣Kutwa kujishtukia...
Ukiimba basi unamuimba yeye..hata nyimbo za siasa.
Yalinikuta loh
Hahahah we theory zako bana🤣mapenzi ya Siri matamu wewe jaribu uone.Kakuona... kakupenda...mkapendana...anauwezo wakuoa wake wawili...au zaidi...ila kwa mapenzi alionayo kwako....AKAONA AKUPE CHEO CHA MCHEPUKO.....
nawewe kwa kupendwa huko penzi limekukolea...umeridhia kuwa mchepuko ilhali...amekwambia mwenyewe Ana uwezo wakuoa wake wawili....
Kama unaguvu za Kuroga kiasi hicho...alafu huwezi roga ukafanywa mke..maana kupendwa.ushapendwa...
Basi nidhahiri.kuwa WEWE NDO UMEROGWA na mke wa mchepuko wake...
Utumike Kama mchepuko uzae mtoto.mwingine..... hapo ndo utaanza Sasa kukumbuka Kuroga Baada ya kuachwa
Ha haaa aisee wewe ni chiz, mie sithubutu mbona nitakula mateke niwe kilemaHahahhaaha...mie naupendaga ule wa gigy money..nampa papa..bas weee
![]()
Hahahahah mie napenda ile wa Domo na zuchu wanasema sukari;mondi anakwambia,mi ndo kamati kuu hapa Jimbo umepata 🤷Hahahhaaha...mie naupendaga ule wa gigy money..nampa papa😅😅..bas weee🤣🤣🤣
Penzi la Siri traaaamu..... Sasa ukauza kiwanja Cha Nini Upate hela ya Kuroga....hata Kuroga huyo mwanaume akupe hela Napo umeshindwa......Hahahah we theory zako banamapenzi ya Siri matamu wewe jaribu uone.
AmeeeeeenBila shaka mkuu![]()
Mapenzi haya....yaaani huyo mwanaume kumgaramia....akamfanya awe mali alafu akamuacha na kuoa mwingine...Hapo ndo kwenye Donda bichi...litoalo DamuHuyu binti anakinyongo na hasira sana ndani ya moyo wake. Alaf hii hasira na chuki wala haitokani na mtoto
Aisee kweli...si auze shamba apate hela ya kupeleka mtoto shule? Anauza ili apate hela ya kuroga. Nonsense..Penzi la Siri traaaamu..... Sasa ukauza kiwanja Cha Nini Upate hela ya Kuroga....hata Kuroga huyo mwanaume akupe hela Napo umeshindwa......
Ulozi wako....HAUNA MASILAHI....
njoo tu tuungane kuomba Mungu ....tukifanya dhambi tunatubu...nakuendelea kuomba bila kuchoka...
Hawa wajuaji wa mambo ya watu wametuharibia muendelezo wa stor.Achana na kijibu hizo comments tupe mwendelezo, arosto tayari![]()
No revenge is a must,jua hivyo,wameanza namaliza,hii Vita mshindi atajulikana kwa Vita ya dunia ilivyoishia pale Hiroshima kwa bomu la nyuklia,na dunia ikatulia.
Auze shamba la Nini....anauwezo wakuroga...Jamani Huyu mtu anatutania Sasa...Kama KWELI Ulozi wake anaojisifia Hapa.... Unafanya kazi...Aisee kweli...si auze shamba apate hela ya kupeleka mtoto shule? Anauza ili apate hela ya kuroga. Nonsense..
Ila bado naunga mkono jamaa arogwe
Nop demi...mm naupendaga tu...nauimba sana .sasa kama anahis nampa ujumbe inabii akubali hali halisi..ss ww anamind hata nyimbo za siasa jaman? HahahahHa haaa aisee wewe ni chiz, mie sithubutu mbona nitakula mateke niwe kilema
Haya maswali yako nitayajibu shoo ikiisha.