Huwa sielewi mtu analeta kisa chake hapa kwa sababu nyingi
Sisi wasomaji tunaweza kumshauri ila hatuwezi kulazimisha mtu apokee ushauri
Pili tunajifunza
Huwezi kuwapangia watu maisha
Kila mtu akisema aelezee kisa cha maisha yake hapa tutakimbiana,hakuna mkamilifu
Binafsi uamuzi wako wa kumkomesha huyo mume sikubaliani nao lakini kama ni maamuzi yako nayaheshimu
At the end maisha ni yako yakikunyookea au yakibuma shauri yako mimi siumii chochote
Ndio maana nashangaa mtu mpaka anakauka mate kukushambulia kuhusu maamuzi yako
Looh