Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Sasa...Mimi nachotaka Ni uolewe na huyo mwanaume...Mkae mleee hao watoto na mzae watoto....hiyo nguvu yako ya ULOZI ....elekeza huko.....Kama KWELI unaaamini kurogana.... Huko ndo unakotakiwa kuinvest Ulozi wako.....
Nikimaliza hili tutafanya usemavyo.
 
Wape juju kali, tena njoo inbox nkupe ufundi, unaweka juju ya kumaliza ukoo mzima, hakibaki kitu had kiumbe cha tumboni km kuna mwenye nacho ktk huo ukoo kinakwenda na maji.
Fanya kweli mom, usiogope.
Siogopi nimedhamiria.
 
Nikimaliza hili tutafanya usemavyo.
Hilo ndo la.msingi my dear.... Constant supply of penis and money plus ndoa yako na huyo anakuita mchepuko.. Hilo ndo linatakiwa kuwa lengo....

Lengo la kuinvest hela kumkoa mke wa baba mtoto wako....hata wakishakoma Wewe utapata Nini?.... Furaha ya Muda mfupi...

Wakati furaha ya Muda mrefu kwako na watoto wako....IPO hapo kwa Huyo akuitae mchepuko

Wise up lady
 
Loga Ni kuloge....maisha yakifala Sana haya
kurogwa asilimia Kubwa Ni hisia... Unahisi unarogwa ....

Labda umkute mtu live nyumbani kwako au uone madawa... But wengi wetu..huwa tunahisi tu
Na ndivyo ilivyo. Anahisi amerogwa, then anakimbilia kwa waganga
 
No nilikaa kimya Kama mjinga,wamefanya yao,wanataka hadi kumuua mwanangu,kwahiyo nitulie tu? hapana,nilipomkuta wakati namnunulia boksa namrudisha
Mama ukishindwa kusamee lipa kisasi tena kizito kwa mshindo mkuu hapo moyo wako utatulia wachana na watu ambao hawajanyanyaswa live, hawajui machungu, nipo nyuma yako.
 
Hii story imekaa kama tamthilia ya mama kimbo uswahili mwingi sana mleta mada haipo siriaz kuelezea story yako ila upo busy kujibishana na watu maneno ya kejeli
 
Sehemu gani nimekutukana? inaonekana hata ujielewi wewe. Unataka ujibiwe kama unavyotaka wewe? ungepeleka hiyo topiki FB kwa marafiki zako basi
Jf Kuna watu huwa mnacomment kama unaugomvi na mtu,huu ndo ushetan na uchawi yaan furaha yako nkuona umemkwaza mtu,hukupata malezi mazuri pimbi wewe,nazan umelelewa na walevi
 
Hahah huyo sitaki aachike,kwani Hana maajabu chumbani,na jamaa shoo zake za kibabe yeye haziwezi,soon tunaenda bomani kuhalalisha na yeye atabaki na heshima ya mke wa kwanza.Siwezi mfanyia hila sababu nilimkuta.
Hana maajabu chumbani ..alafu bado hajaachwa.. mwanaume ndo anakwambia mkewe Hana maajabu chumbani?.....

My sister wise up...chose your battles
 
Hilo ndo la.msingi my dear.... Constant supply of penis and money plus ndoa yako na huyo anakuita mchepuko.. Hilo ndo linatakiwa kuwa lengo....

Lengo la kuinvest hela kumkoa mke wa baba mtoto wako....hata wakishakoma Wewe utapata Nini?.... Furaha ya Muda mfupi...

Wakati furaha ya Muda mrefu kwako na watoto wako....IPO hapo kwa Huyo akuitae mchepuko

Wise up lady
Subiri wazee wakamilishe kazi,mengine tutazungumza baadae.
 
Hana maajabu chumbani ..alafu bado hajaachwa.. mwanaume ndo anakwambia mkewe Hana maajabu chumbani?.....

My sister wise up...chose your battles
Hayo ya kwao,mie nashughulika yangu na babe wangu,Wala sitaki amwache,na yeye alishasema ni Moslem dini yake inamruhusu kufanya hivo.
 
Mama ukishindwa kusamee lipa kisasi tena kizito kwa mshindo mkuu hapo moyo wako utatulia wachana na watu ambao hawajanyanyaswa live, hawajui machungu, nipo nyuma yako.
Ndio nafanya hivyo,arudi nilipomkuta niwe huru na mwanangu,nimbadili ubini tuanze fresh hila grudges wala kumbukumbu yake kwenye maisha yetu Tena.
 
Niwape updates Nini?hahahahah wameanza kutafutana huko hahahah
Haaaah Mimi nikuete THE IRON BUTTERFLY kwakweli nami kunajambo nimesamee miaka na miaka lakini muhusika kila siku huni fanyia kejeli naomba baada ya mwezi nikuulize matokeo kama ni positive nami unielekeze katavi.
 
Hayo ya kwao,mie nashughulika yangu na babe wangu,Wala sitaki amwache,na yeye alishasema ni Moslem dini yake inamruhusu kufanya hivo.
Dini yake inamruhusu kua mke WAPILI...hili ndo unatakiwa ukomae afanye...hilo.la kukufanya mchepuko Dini hairuhusu my dear....
 
Back
Top Bottom