Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Hana maajabu chumbani ..alafu bado hajaachwa.. mwanaume ndo anakwambia mkewe Hana maajabu chumbani?.....

My sister wise up...chose your battles
Unamaanisha anadanganywa au?
 
Unamaanisha anadanganywa au?
Inaitwa brain manipulation....kukufanya ujione watofuati Sana.....ndo maana kipepeo anajiona Ana maajabu Sana..

Kumbe in reality hakuja chakustaajabisha alichonacho Hadi AROGE.....

Kama kuroga ndo njia alochagua na inamtokeo...huyo anaemficha Kama kiroba Cha Bangi...ndo anatakiwa arogwe
 
Na ndivyo ilivyo. Anahisi amerogwa, then anakimbilia kwa waganga
Mbona umekomaa na Uzi wangu?Kuna sehemu nawe umeharibu so unajihisi?una maslahi gani na huu Uzi?kikawaida memba anarespond once or twice then anakausha,Ila wewe umeushupalia Uzi hahahahah,karibu nakonde.
 
Nitakueleleza usijali,mie sio mchoyo,watu waovu wanapaswa kushughulikia.
Haaaah Mimi nikuete THE IRON BUTTERFLY kwakweli nami kunajambo nimesamee miaka na miaka lakini muhusika kila siku huni fanyia kejeli naomba baada ya mwezi nikuulize matokeo kama ni positive nami unielekeze katavi.
 
Inaitwa brain manipulation....kukufanya ujione watofuati Sana.....ndo maana kipepeo anajiona Ana maajabu Sana..

Kumbe in reality hakuja chakustaajabisha alichonacho Hadi AROGE.....

Kama kuroga ndo njia alochagua na inamtokeo...huyo anaemficha Kama kiroba Cha Bangi...ndo anatakiwa arogwe
Ok nafichwa mie Ila maumivu unapata wewe,maajabu ya 9 ya dunia.Binafsi nimeridhika na kufichwa Sina hata nongwa na yeyote,yaani full burudani.
 
Wape juju kali, tena njoo inbox nkupe ufundi, unaweka juju ya kumaliza ukoo mzima, hakibaki kitu had kiumbe cha tumboni km kuna mwenye nacho ktk huo ukoo kinakwenda na maji.
Fanya kweli mom, usiogope.
Mh mdogo wangu hiyo Hatari sasa
 
Ok nafichwa mie Ila maumivu unapata wewe,maajabu ya 9 ya dunia.Binafsi nimeridhika na kufichwa Sina hata nongwa na yeyote,yaani full burudani.
....Hilo ndo linalonishangaza....NGUVU YAKO YA. ULOZI unayojisifia hapa IPO WAPI?... unatuma radi. .sijui unawaona wanahangaika ....ALAFU WEWE UNARIDHIA kuwa mchepuko.....

Unanguvu ya kumfanya mtu afilisiki abakie pumbu TU...Alafu Huna nguvu zakufanywa mke...na anaekuita mchepuko

Inawezekana Wewe ndo umerogwa Sasa

Unadhani naumia....NAKUSHANGAAAAA
 
Mbona umekomaa na Uzi wangu?Kuna sehemu nawe umeharibu so unajihisi?una maslahi gani na huu Uzi?kikawaida memba anarespond once or twice then anakausha,Ila wewe umeushupalia Uzi hahahahah,karibu nakonde.
Basi chukua uzi wako uufiche.
 
....Hilo ndo linalonishangaza....NGUVU YAKO YA. ULOZI unayojisifia hapa IPO WAPI?... unatuma radi. .sijui unawaona wanahangaika ....ALAFU WEWE UNARIDHIA kuwa mchepuko.....

Unanguvu ya kumfanya mtu afilisiki abakie pumbu TU...Alafu Huna nguvu zakufanywa mke...na anaekuita mchepuko

Inawezekana Wewe ndo umerogwa Sasa

Unadhani naumia....NAKUSHANGAAAAA
Huna vipaumbele vya maana....
Hapana siwezi mloga mpenzi wangu,kaniona ,kanipenda kanipenda yumeridhiana tukawa pamoja.Ukimloga mtu akupende sio mapenzi.Huyu tunaye mshughulikia kanionea Sana Mimi na mwanangu na kunichokoza kwa muda mrefu,so anastahili hili.
 
....Hilo ndo linalonishangaza....NGUVU YAKO YA. ULOZI unayojisifia hapa IPO WAPI?... unatuma radi. .sijui unawaona wanahangaika ....ALAFU WEWE UNARIDHIA kuwa mchepuko.....

Unanguvu ya kumfanya mtu afilisiki abakie pumbu TU...Alafu Huna nguvu zakufanywa mke...na anaekuita mchepuko

Inawezekana Wewe ndo umerogwa Sasa

Unadhani naumia....NAKUSHANGAAAAA
Huyu binti anakinyongo na hasira sana ndani ya moyo wake. Alaf hii hasira na chuki wala haitokani na mtoto
 
Back
Top Bottom